Phone screen magnifier

Phone screen magnifier

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,834
Reaction score
40,649
Hello wanatech

Kuna mwenye hicho kifaa hapo. Na ulipata wapi na kwa bei gani?
Vipi kimatumizi kipo poa?

Cc Chief-Mkwawa
 
Attachments

  • Screenshot_20190725-131204.jpeg
    Screenshot_20190725-131204.jpeg
    46 KB · Views: 44
Mkuu hicho kifaa ni Gimmick tu, Display kwenye simu ni moja ya kifaa ghali Kama sio kifaa ghali zaidi, unajua mwenyewe display ikiharibika gharama yake inavyokuwa.

Then anakuja mtu anakupa display kubwa zaidi kwa Bei ya cover ya simu,

Zimejaa kibao jumia na Aggrey kariakoo Bei hazifiki Hata 10,000

Kama una simu supported na unataka kuangalia 3D movies Mara Mia ukanunua VR headset, utaangalia movie vipande pande lakini still utaenjoy.
 
kumbe hadi simu na simu? me nikajua ni simu yeyote ni swala mtu kuiweka tu nyuma hapo then nimemaliza.
 
Nilichomaanisha Hapo juu quality itadrop Sana, haitaonekana Kama ukitumia kioo chako Cha simu.
nje ya mada kidogo haya macontroller ya kichina aisee yananitesa sana. yana kufa sana receiver. ya kwanza ghafla tu haikonect kuja kucheki receiver imekufa.
1564008217766.png

nikanunua nyingine inaitwa blue loong, leo tena hii inawaka na taa inablink ila imegoma kuconect kabisa. hata nikijaribu kuiconect na ile pad ya zamani bado hamna kitu maana mwanzo pia ilikuwa inakubali (zinaingiliana receiver). nahisi nayo ishadedi. nifanyeje aisee, au brandy gani ni nzuri na bei ni nafuu nikaitafute?

kuna hii nilibahatikaga kuiona kipindi flani kariakoo. nikataka kuichukua jamaa akaniambia haifanyi kazi kwenye pc ni ps tu
vipi hakuna manuva niitumie kwenye pc. naona bei yake ilikuwa nafuu kidogo 25000
1564007859384.png
ni power A
 
Chief-Mkwawa

Nimekuuliza hiyo wireless controller ya ps3 vipi hakuna manuva niitumie kwenye pc. Kimyaa mkuu?
 
Sorry mkuu sikuiona hio comment,

Ps3 inapiga kazi kwenye PC kwa njia zote wireless kupitia Bluetooth ama wired,

Sema kwa ushauri Bora ununue pad ya Xbox 360 ya waya, maana Xbox 360 ipo pre configured windows unachomeka na kucheza na games nyingi zipo optimized kutumia hii pad hufanyi setting yoyote.

Mpya Xbox 360 ni around 35,000 hivi. Na mtumba pia zipo. Za ps pia Bei humo humo mtumba, ni Bora mtumba sometime kuliko pad ya kichina.

Kwa ps3 ukitaka icheze kwenye PC Kuna software inaitwa scp toolkit, ps3 pad yako itatambulika Kama pad ya Xbox. Sema sio reliable kivile ndio maana nakushauri Xbox, mfano kwangu imedisable Bluetooth, siwezi connect kitu chochote na na PC kupitia Bluetooth Hadi nizitoe drivers, pia unaweza Zima PC unawasha pad haitambuliki inabidi uanze upya Tena kueka drivers.
 
Mkuu mimi mipad ya xbox inanishindaga. Hasa kwenye football. Ukitaka unifunge kirahisi nipe hiyo pad ya xbox.[emoji3]

Nimeiona hii alliexpress 45k tu. Vipi bongo siwezi pata kama hii

-6930411161607980996.jpeg
 
Mkuu mimi mipad ya xbox inanishindaga. Hasa kwenye football. Ukitaka unifunge kirahisi nipe hiyo pad ya xbox.[emoji3]

Nimeiona hii alliexpress 45k tu. Vipi bongo siwezi pata kama hii

View attachment 1167016
Usinunue za kichina no name mkuu, Kama unataka dedicate gaming pad ya PC brand nzuri ni za Logitech, zinapatikana Bei hizo hizo.

Halafu hizo gamesir ni clone za Xbox zikija muundo ni ule ule.
 
bro nunua padi mtumba ya PS3, narudia PS3 sio PS4, PS3.
kisha utumie SCP Toolkit, Chief Mkwawa kaweka maelezo bayana.

NB: padi za XBOX 360 zitakutesa kama unatumiaga D-Pad kucheza FIFA/PES sababu vitufe vyake vya direction vimeungana.
 
Yaa na hilo hasa ndio huwa tatizo langu. Yaani hizo direction key zimeungana unakuta hazina tofauti na analog.
 
Usinunue za kichina no name mkuu, Kama unataka dedicate gaming pad ya PC brand nzuri ni za Logitech, zinapatikana Bei hizo hizo.

Halafu hizo gamesir ni clone za Xbox zikija muundo ni ule ule.
Mkuu kuna jamaa yangu anayo gamesir t3 iko fresh tu na ina usb receiver yake kabisa niliijaribu iko poa kidogo mfumo wake kama wa pad za ps4 ila nimeona hii iko bomba zaid. Naikimbia ps4 controller ni nzuri lakini bei yake haiendani na serikali ya viwanda😀
 
Ps3 Mimi nilinunua 30K, uzuri wa ps3 hutumii battery za kununua unaichaji tu, na pia wireless yake hazitumii extra hardware Kama PC tayari ina Bluetooth.
 
Poa ngoja tu itabidi nijipinde nikazitafute hizi gamesir japo hawa wahindi wa kariakoo wana bei sana. Halafu huwa wanatamka huku wanaendelea na mambo yao.
 
Kuna machimbo ya gamepad za kichina Aggrey, sema kumuelekeza mtu ngumu sana,

Jaribu kwenda City Mall geti la kutokea, ukiingia Kuna supermarket mkono wa kulia, nenda mbele kidogo utaona kiduka kidogo ulizia.
 
Kama una namba zao nipe mkuu. Au nitakutafta pm unielekeze vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom