msaada na takakujua kuhusu m-pesa mastercard

Gabb_y

Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
32
Reaction score
30
et jaman nlikuwa na uliza je m-pesa mastercard unaweza kuitumia kupokea pesa kutoka nje na kwenye mitandao kama youtube ama haiwezekani.
 
Mfumo wa kifedha wa Tanzania hauruhusu kupokea fedha kwa mastercard/visa

Hivyo naamini haiwezekani kama jinsi ambavyo haiwezekani kupokea fedha kwa mastercard/visa ya benki yoyote nchini.

Nakubali kusahihishwa....
 
Unaruhusu kupokea kwa njia gani?
 
je kwakuunga nisha na paypal

Hata kadi yako ya benki unaweza kuiunganisha na paypal na kufanya manunuzi (ambayo unaweza kuyafanya hata kwa kadi moja kwa moja bila kuwa na paypal katikati). Lakini hauwezi kupokea wala kudraw hela kuja kwenye kadi/mpesa yako in Tanzania.
 
Dah kwahiyo watu kama millard ayo wanapokeaje hela zao za YouTube mkuu.
 
Back
Top Bottom