Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaaada simu yangu tecno w2 ina matangazo mengi sana kila napofungua data Tatizo hili ni kero sana yani unakuta ads zinarundkana kila napotaka kuingia au nikiingia kwenye browser,apps au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar za wakat huu wakuu na wadau wa jf hasa upanfe huu wa tech! I hope wote mko poa na mnapambana na shughuli kama sio kazi au majukumu ya kila leo Baada ya salama nikuelekeze kwenye kichwa cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za wakati ndugu vp hapa tatizo ninini
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe.... Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Karibu wakuu, kwa wale wenye uhitaji wa kurecycle majitaka,hasa ya mashule,vyuo, hostels n.k
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Hope mu wazima wa afya weekend hii... Lengo la huu uzi ni kutaka kaujua mambo ya muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua simu has a iPhones kuanzia specifications, model,ubora wa betri na mengine...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nimeibiwa simu aina ya Samsung Galacy A9+. Sikuwahi kutunza IMEI yake na wala siijui, je nawezaje kuifanya useless ili aliyeiiba asiweze kuitumia? Msaada please.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja. Kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari humu… Nimeshindwa ku access profile langu Instagram.. Inavyoelekea mtu kali hack.. Maana sipewi option ya if 'it was you ama wasn't you'' kama ambavyo unge expect Instagram inavyofanyaga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kufahamishwa app yenye uwezo wa kuconvert pdf file to docx ya free please wataalam wa teknolojia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello, Naomba msaada kwa yeyote anayezijua the best software (programs) au systems kwa ajili ya kufanya Data Entry. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na kupanda bando za mitandao mbalimbali hususani university offer ya voda,kuna watu wanajitangaza kwenye social network mbalimbali kwamba wanauza vifurushi vya wafanyakazi wa voda kwa bei...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Habari, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nilinunua router ya halotel kipindi wanaanza huduma zao, mtandao ulikua na speed na package zao zilikua poa sana, Kwa sasa nao wamekua slow sana na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari yenu wana forum. Ninaomba msaada wenu kwa hii modem ya Halotel maana nikijaribu kuiunga na dlink router via usb port inagoma hata nikiconfigure router, mwenye anajua tafadhali anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta bank bora kwa ajili ya kuweza kufanya online shopping Msihangaike tena bank abc na uba wanatoa card za bank ambazo tayari zimewezeshwa kutumia hio huduma...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Hello ,wadau huwa nashangaa sana kwenye taasisi kama hizi zinazoweka namba za simu ya mkononi kwenye website zao halafu unawapigia zaidi ya mwenzi mzima hawapokei ,huwa wanamatatizo gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom