Msaada jinsi ya kusafisha renzi ya camera ya sm

Msaada jinsi ya kusafisha renzi ya camera ya sm

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,295
Reaction score
11,586
Wadau mwenyewe kujua materia gani yanaweza kusafisha renzi ya camera ya sm

Tatizo renzi ilibanduka mda wa kurudishia fundi akatumia super glue kwaiyo renzi ikaweka ukungu kwenye kilo cha camera na renzi hivyo ubora wa picha umepotea kabisa
 
jaribu kutumia benzene, mafundi wa simu huwa wanakuwa nazo...
 
benzene/While spirit/home dry cleaner huwa ina tabia ya kupausha glass. Umeshajaribu ukaona ufanisi wake?
jaribu kutumia benzene, mafundi wa simu huwa wanakuwa nazo...
 
Ok kuna ile inayoitwa LCD cleaner inayotumika kuoshea display za tv na laptop aangalie ipi kati ya hiyo na benzene itakayofaa
Nope isipokuwa nishawahi kuona ikitumika kuyeysha gundi mahali ilipoganda...
 
Ungeweka na upana wa lenzi yenyewe ingekuwa poa sana
 
Tuwekee kwanza picha ya renzi maana mimi binafsi siijui
 
Mkuu hapo ni kumrudishia fundi aifungue simu then asafishe kwa benzene au spirit au kama mwenyewe una vifaa you can do that ,lqkini bila kuipqngua huwezi safisha kwa nje maana camera yenyewe ndio iliyo chafuka kuipata lens screw driver zinahusika.
 
Back
Top Bottom