ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Naomba kuuliza mawezaje ku-download na ku-install Bluetooth kwenye pc yangu manake haionekani kabisa yan
Lazima Bluetooth hardware iwepo, kama ni desktop tafuta kwanza Bluetooth/PCI card kwanza uiweke ndio ufanye installation
Broo in short ni kwamba me nishazoea kuiona Bluetooth ikiwa kwa chini pale kwenye PC lakin kwangu naangalia siionii , najaribu ku-download niki-install siionii ikijaa pale ninapotaka ije wakati naona inafanya installation kabisa brooLazima Bluetooth hardware iwepo, kama ni desktop tafuta kwanza Bluetooth/PCI card kwanza uiweke ndio ufanye installation
Ni kwa sababu hakuna bluetooth hardware iliyopo kwenye pc yako. Hivyo hata uweke driver za aina gani bila hardware haifanyi kazi mkuuBroo in short ni kwamba me nishazoea kuiona Bluetooth ikiwa kwa chini pale kwenye PC lakin kwangu naangalia siionii , najaribu ku-download niki-install siionii ikijaa pale ninapotaka ije wakati naona inafanya installation kabisa broo
Kwaio hapo nifanyaje brooNi kwa sababu hakuna bluetooth hardware iliyopo kwenye pc yako. Hivyo hata uweke driver za aina gani bila hardware haifanyi kazi mkuu
Je, pc ni desktop au laptop?Kwaio hapo nifanyaje broo
Laptop mkuuJe, pc ni desktop au laptop?
Huwa zinazo Bluetooth hardware tayari ila huenda hujaiwasha maana huwa zinawashwa manually mkuuLaptop mkuu
Bonyeza windows button search bluetooth,nenda bt setting,uta tick option ya show bt icon kwny taskbarBroo in short ni kwamba me nishazoea kuiona Bluetooth ikiwa kwa chini pale kwenye PC lakin kwangu naangalia siionii , najaribu ku-download niki-install siionii ikijaa pale ninapotaka ije wakati naona inafanya installation kabisa broo
Huwa zinazo Bluetooth hardware tayari ila huenda hujaiwasha maana huwa zinawashwa manually mkuu