Wakuu,
Hivi majuzi nimeanza nimeanza kujifunza kutumia Ae sasa shida ninayoipata ni kuwa nikiiport video ina play kwa sekunde 14 hivi na haiendelei tena. Nimejaribu kubadilisha duration katika...
Hi Team,
I found these more interesting for those who want to pursue DS, ML and or AI.
No payment..you Learn free, execersice, lab practice then Exam for each Module..
Link...
The next big thing to hit the Mobile market
This technology looks amazing more than 1GB/S on your home WiFi. Can't wait to stream HD video to my Android powered TV.
Wanabodi habari zakutwa. Kama kichwa kinavyojieleza kwawiki nzima simu zangu zinavyoingia ndivyo nikifika nyumbani mkewangu anavyo nipa taarifa na kulalamikia maongezi yangu akinilaumu...
Naomba ushauri jamani, mimi niko interested san kujifunza namna ya kutengeneza softwares kwa ajili ya matumizi mbali mbali kama vile
1.school management systems,
2.business management systems...
Siku hizi sio lazima sana utumie muda mwingi kudevelop system from scratch. Kuna open source marketi nyingi ambapo unaweza nunua mfumo unafanya customization kisha unauza. Mfano ni envato market...
Nisiwe na maneno mengi sana but natafuta ushauri wa kipi cha kufanya maana baada ya ku update OS from 7 to 8 device imekuwa ikiporomosha charge faster sana! Kibaya zaidi inachemka mno hasa kipindi...
Sorry wana jf, naomba kuuliza juu ya PC yangu natumia HP 430 lakin port zake nikichomeka flash inakubali kusoma na kutulia fresh lakini nikitumia USB ya kwenye simu naona inasoma lakini haitulii...
WARNING:
KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI.
KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA...
Salute comrades
Sasa yapata wiki kila nikiingia ktk AZAM APP nishuhudia vitu vya hovyo kabisa, unaingia Azam two unasikia kipindi kinaendelea lakini picha/ watu hawaonekani, vivyo hivyo channel...
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp...
napenda kuangalia movie zenye teknolojia ya juu kama matrix, iron man n. k
natamani niwe na uwezo wa kutengeneza movie kama hizo nifanyeje? au nisomee vitu gan ili niweze kutengeneza movie kama hizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.