Msaada kwa Mtu Mwenye Uelewa

Msaada kwa Mtu Mwenye Uelewa

Vungola

Senior Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
130
Reaction score
72
Jamani naomba mnisaidie jambo moja, shida yangu ni kwamba namba yangu ya halotel ninayoitumia katika mawasiliano imekuwa na tatizo yaani kila anaejaribu kunipigia inajitaka yenyewe kwake na wakati huo kwangu haineshi kama mtu amenipigia. Naomba kwa mtu mwenye ujuzi na uelewa zaidi anisaidie.
 
Je umeshaenda kwenye office za halotel kuwaeleza customer care?
je wameshindwa kukusaidia?
Aina ipi ya simu unatumia?
Je unaweka muda wa Maongezi Mara kwa Mara?
 
Jamani naomba mnisaidie jambo moja, shida yangu ni kwamba namba yangu ya halotel ninayoitumia katika mawasiliano imekuwa na tatizo yaani kila anaejaribu kunipigia inajitaka yenyewe kwake na wakati huo kwangu haineshi kama mtu amenipigia. Naomba kwa mtu mwenye ujuzi na uelewa zaidi anisaidie.
hapo tatizoz cm hapo
 
Back
Top Bottom