Mkuu, samahani naomba nisaidie link ya ule Uzi wako kuhusiana na processor za simu.Wifi ni njia ya mawasiliano yenyewe inasafirisha data bila kutumia waya, wifi Kama wifi unaweza ukanunua router na ukaipata bure mpaka router yako itakapokufa, lakini sio internet,
Ili wifi yako iwe na internet access inabidi uwe na source ya internet, inaweza ikawa ni waya (fiber) unachomeka kwenye router ama ikawa ni line ya simu ukaunga bundle etc.
Hivyo Kama unataka wifi yako iwe na internet haiepukiki kulipia, kutegemea na location ya ofisi yako unaweza pata internet nzuri za unlimited ambazo zitakuwezesha Kutoa Huduma za wifi bure.
Kama nilivyosema Hapo juu inategemea na location katikati ya mji na makazi ya watu wenye Hela hizi internet za Fiber zinapatikana kirahisi, Kwa 70,000 unaweza ukawa na internet ambayo Hata watu 10 wanaweza kutumia kwa muda mmoja.je na zipata izo ambazo zina acces internet
Ila umepitwa na wakati Kuna processor mpya nyingi tu mkuuMkuu, samahani naomba nisaidie link ya ule Uzi wako kuhusiana na processor za simu.
Thanks in advance.
Mkuu router ipi ni nzur katika bei ambay ni affordablewifi Kama wifi unaweza ukanunua router na ukaipata bure mpaka router yako itakapokufa
Shukrani kaka... Kama utapata muda just mention tu hizo mpya nitazigoogle...Ila umepitwa na wakati Kuna processor mpya nyingi tu mkuu
Jinsi ya kutambua processor ya simu na kuijua simu ghushi(AndroidOS)
Processor katika simu ni kifaa ambacho huchukua maelezo kutoka kwenye software na kufanya kazi za kimahesabu na kimantiki pamoja na kutoa na kuingiza vitu ili simu yako ifanye kazi kwa ufanisi. unapo peruzi internet au kuangalia video na picha basi processor inakuwezesha. tunaweza kusema ni moja...www.jamiiforums.com
Kama unataka inayoingia line majority ni Kama zinafanana mkuu, uzuri ni kwamba mchina feki feki hajaingia Sana humu, utapata tu brand nzuri Kama D link, Huawei, Zte etc. Kwa used wanazoleta mtaani unazipata around 50,000 mpaka 100,000 na mpya around 150,000.Mkuu router ipi ni nzur katika bei ambay ni affordable
Shukrani Chief..Kama unataka inayoingia line majority ni Kama zinafanana mkuu, uzuri ni kwamba mchina feki feki hajaingia Sana humu, utapata tu brand nzuri Kama D link, Huawei, Zte etc. Kwa used wanazoleta mtaani unazipata around 50,000 mpaka 100,000 na mpya around 150,000.
Na Kama budget inabana zaidi unaweza kununua modem ya wifi na power bank, unachomeka ile modem kwenye power bank na kupata router nzuri tu. Airtel wanazo sema ni 3G na Zantel Sina uhakika ila nahisi wanazo 4G.
Kuhusu Zantel pia Wana 4G router kwa 75,000 Sina uhakika Kama inachakachulika kirahisi ila ni bonge la deal.
![]()
Hizo zote nilizozitaja juu 4G yake inakuwa ni basics, 150mbps, zipo router zinazoingia line ambazo ni high-end zenye speed 300mbps mpaka gigabit LTE na kuendelea. Sema Bei zake nazo zinakuwa ndefu, laki 3 kupanda.
Pia kunakuwa na Router zisizoingia line, hizi inabidi uzipe source of internet Kama kuchomeka modem ama kuchomeka waya wa internet, zenyewe hizi zinakupa wifi yenye nguvu Sana, hizi ndio watu wanazitumia kustream games, kustream miziki, video etc kutoka kwenye vifaa mbalimbali vya nyumbani, mfano unakuta mtu ana PlayStation yake ipo sebuleni ameiweka on lakini anaecheza game la hiyo PlayStation chumbani kupitia simu, ama scenario nyengine unaweza ukawa na desktop umeifungia tu Hata stoo, lakini vifaa vyote vya nyumbani Kama TV, simu, Tablets etc vinaweza ku access ile desktop na kuangalia vitu Kama movies ambazo zimehifadhiwa kwenye ile desktop (bila kutumia internet). Router hizi zinakuwa na muonekano Kama huu.
![]()
Bei zake zinarange chini ya laki mpaka mamilioni kutegemea na nguvu yake, band zake, umbali wa wifi inapoweza kufika etc
Kuna jamaa ni mtaalam wa Zantel ngoja aje kutuambia Kama hizo router zinachakachulika Shaffin Simbamwene , Kama zinachakachulika nakushauri tafuta hio ya Zantel, utapata kitu kipya na Cha uhakika Tofauti na AliExpress kwa brand usiyo ijua.Shukrani Chief..
Mim bajet yangu haizid 75000 na naitaji hiyo uliosemea ya kuingia line yyt ile na nataka niagize kupitia aliexpress mana kule nimeona nying tu shida ni undani wake, kwa bajet hiyo naweza pata ufafanuz kidgo ili isitokee nikajichanganya!
chif mkwawa japo sio ndani ya mada ila naomba nishauri kuhusiana na hii pc yenye processor intel (R) pentium (R) dual @2.16 GHz kwa RAM ya 4 GB matumiz yangu yatakuwa ni kusoma mtandaoni na kupakua baadhi ya vitu vichache ila matumiz ya kimtandao zaid na vipi nikitaka kuplay game inawezkana kwel kama euro truck simulator?Kuna jamaa ni mtaalam wa Zantel ngoja aje kutuambia Kama hizo router zinachakachulika Shaffin Simbamwene , Kama zinachakachulika nakushauri tafuta hio ya Zantel, utapata kitu kipya na Cha uhakika Tofauti na AliExpress kwa brand usiyo ijua.
Jina la hio Pentium ni ipi? Nenda my computer kisha right click nenda properties kuliona.chif mkwawa japo sio ndani ya mada ila naomba nishauri kuhusiana na hii pc yenye processor intel (R) pentium (R) dual @2.16 GHz kwa RAM ya 4 GB matumiz yangu yatakuwa ni kusoma mtandaoni na kupakua baadhi ya vitu vichache ila matumiz ya kimtandao zaid na vipi nikitaka kuplay game inawezkana kwel kama euro truck simulator?
mkuu nimeweka pichaJina la hio Pentium ni ipi? Nenda my computer kisha right click nenda properties kuliona.
Itakubali Euro truck sema Euro truck 2 haitakubali.mkuu nimeweka picha
Sawasawa..Kuna jamaa ni mtaalam wa Zantel ngoja aje kutuambia Kama hizo router zinachakachulika Shaffin Simbamwene , Kama zinachakachulika nakushauri tafuta hio ya Zantel, utapata kitu kipya na Cha uhakika Tofauti na AliExpress kwa brand usiyo ijua.
Web yao ipo mkuu na maduka yao yapo, lakini ukinunua utatumia line moja tu ya Zantel, ila tukipata uhakika Kama inachakachulika utai unlock na utatumia line zote.Sawasawa..
Vp wao si wana web yao, hakuna namna inaeza patikana kule?
Na kwa hiz za mitandao mingn mfano voda na halotel ipi iko makin kuiacha hii ya smile amby umesema ni ghali?
Hlf kule aliexpress naona hiz za huawei kama zina rate kubwa kdg
Nimekupata Chief..Web yao ipo mkuu na maduka yao yapo, lakini ukinunua utatumia line moja tu ya Zantel, ila tukipata uhakika Kama inachakachulika utai unlock na utatumia line zote.
Halotel pia wanazo sema mtandao wao ni 3G vyema usinunue kwao maana itakulimit kutumia 3G tupu, ukinunua Cha 4G utatumia zote 4G na 3G.
Vodacom pia wanavyo ila vyao ni ni 130,000 na ni same model na hiyo ya Zantel,
Ila ushauri wangu ni huo usinunue bila kujua Kama zinachakachulika, maana Kuna nyengine ukinunua utafunga ndoa na mtandao mmoja.Nimekupata Chief..
Shukhran sana, na mimi ntafatlia kwa upande wangu kuhusu hiz za zantel ili kama vp ninunue zao, ntakapokwama ntauliza!
Shukhrani mkuu..ntazingatia hilo!Ila ushauri wangu ni huo usinunue bila kujua Kama zinachakachulika, maana Kuna nyengine ukinunua utafunga ndoa na mtandao mmoja.