kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Wataalamu wa GB whatsup naombeni msaada hivi nilikuwa ninatumia GB whatsup niliipata sasa wiki mbili sijaitumia nimekuja kuingia nakuta neno your version is old please download kila nikijaribu kudownload nashindwa kuirudisha dah nipeni maujanja niirudishe