OFA....

OFA....

jayleoncy112

Senior Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
164
Reaction score
73
Leo Natoa Ofa uliza swali lolote kuhusu KOMPYUTA.... matatizo au ujuzi wowote..
na nikuelekeze Hapa chap....

[emoji39][emoji39]
 
KOMPYUTA NI NINI?

ILITINGENEZWA NA BINADAMU NA KUPEWA UWEZO WA KUFANYA KAZI NA BINADAMU. JE KWA UTENDAJI KAZI WAKE UNADHANI INAMZIDI BINADAMU INTELLIGENCE?
 
nini tofauti kati ya ENIAC na UNIVAC? Na je COBOL ipo katika High level au Low level language?
Leo Natoa Ofa uliza swali lolote kuhusu KOMPYUTA.... matatizo au ujuzi wowote..
na nikuelekeze Hapa chap....

[emoji39][emoji39]
 
Nisaidie njia nzuri ya kupiga window kwa kutumia flash disk usb
 
nina Laptop aina ya Toshiba, niliipeleka kwa fundi ibadilishwe housing, baada ya kubadilishwa housing likaanza tatizo, ukichomeka chaji huku unaitumia screen inacheza na kutoa kama mawimbi, usipochemeka tatizo halipo, kwa uzoefu wako, nini tatizo hapo
 
Back
Top Bottom