Namna ya kuongeza speed ya Internet

Namna ya kuongeza speed ya Internet

Kama eneo ulipo kuna 4g kaswap laini yako iwe ya 4g piah tafuta simu inayosapoti 4g uenjoi maisha ya speed ya internet ila bando linatembea kama upepo gb 1 unaweza dumu nayo siku mbili
Screenshot_20190726-200104_Chrome.jpeg
 
tafuta tu mtandao wenye network nzuri mzee,pia jitahidi upate kifaa chenye kasi ya internet ya 4g zaid ya hapo hamna namna

Kwani hakuna namna ambayo anaweza akafanya aka ki upgrade hicho kifaa chake kisichokuwa na 4g kikaanza kusapoti 4g hili ainjoi maisha?
 
Kwani hakuna namna ambayo anaweza akafanya aka ki upgrade hicho kifaa chake kisichokuwa na 4g kikaanza kusapoti 4g hili ainjoi maisha?
Hapa naona itakuwa ngumu. Cha kwanza inatengenezwa kwanza kifaa(hardware) kinachosapoti 4G alafu ndipo software.
Kwahiyo kama kifaa hakina uwezo wa kuhandle software ya 4G, hata ikiwepo haitofanya kazi.
 
Hivi hiyo hardwire inayo sapoti 4G haiwezi ikanyofolewa kutoka kwenye kifaa kingine na kupachikwa kwenye kifaa kingine halafu ndio tunaangalia uwezekano wa ku inject software ya 4G? nawaza tu lakini.
 
Back
Top Bottom