Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Source: http://mtanzania.co.tz/mtafiti-abuni-kitasa-kinachofunguliwa-na-simu/ CHRISTINA GAULUHANGA – DA ES SALAAM Mtafiti kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Filbert James, amebuni...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Asalam alaykum/ Halleluya....poleni kwa majukum ya kazi .....Kwa anaefahamu ufanyaji kazi wa iyo meegopad T09 msaada tafadhali
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda wakuu, Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika [emoji116][emoji116][emoji116]....Je nifanyaje au tatizo nini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wana tech. Naombeni msaada wa namna ya kutengeneza database itakayokuwa na taarifa za wanafunzi wote. Nina ufahamu kiasi chake na excel. Je nitumie application na namna rahisi ya...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
jinsi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sana pia kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada wataalamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta Wauzaji wakubwa wa computers na Vifaa Vyake hapa tanzania naweza kuwapata wapi Na Ofisi zao Zipo wapi kwa Hapa Dar es salaam
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mnakaribishwa WhatsApp group https://chat.whatsapp.com/DMvECf1KN1sEhU3EqUmmpk
0 Reactions
1 Replies
5K Views
habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Jamani nataka Unlimited Internet ya kulipia kwa Mwezi kwa Ajili ya Matumizi ya Nyumbani... Msaada wenu ipi inanifaa?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaman naomba msaan kuelekezwa kama kuna app au njia yeyote ambayo itanisaidia kuplay music bila kutumia data katika iphone
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Sijuagai developer wengi wa TZ tunashida gani, Tunaishia kutegeneza vi-blog tuna ng'ang'ana na GOOGLE ADs , Website za shule na taasisi na vi-system vya pharmac na HR tunapewe ela za kujikim...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Yaani uvumilivu umenishinda. Nimesubiri 4G internet ya Airtel mpaka nimechoka. Simu zangu zimekuwa zina support matumizi ya internet ya 4G, lakini Airtel wamenifanya nizitumie kwa udogo. Nihamie...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu nimekuwa nikipata notification kwenye twitter za watu mbalimbali lakini kuanzia Jana nimeshindwa kupata notification yoyote,nilijaribu google nikaambiwa niende kwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
*****†********
0 Reactions
4 Replies
2K Views
iPhone inauzwa ni iphone 6S+ GB 64 Offer yangu ni kwa 450 Tu location Dar unakuja tunaonana ukiridhika nayo unaichukua No Exchange Kwa anae hitaji Aje PM...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Multiplexer ni kifaa ambacho kazi yake ni kuchagua ingizo moja kati ya maingizo mengi katika mfumo wake. Multiplexer hua ni kifaa chenye maingizo mengi(inputs),ambapo input hizo zinakua kila moja...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau, Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wakuu wa mjengoni, natumai mpo frexh na mishe mishe za kila siku, Niende moja kwa moja kwenye pont: Naam, ebana katika dunia ya sasa teknolojia imekuwa ni kipaumbele katika sekta nyingi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom