Namna ya kuhamisha taarifa za whatsApp

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa nimepoteza magroup ya awali na kumbukumbu zake zote, swali!! je kunauwezekano wa kurejesha ma group niliyokuwa nayo awali????
 
Hio simu ya awali hata kwenye computer haiwi detected?

What's app inasave vitu vyake offline, message, picha, magroup na vitu vyengine vipo simu ya zamani, ukiweza kuiwasha ama hata ku access mafile kupitia computer utayacopy na kuhamishia simu Mpya.

Alternative Kama uli backup na Google drive unaweza ku restore.
 
Mkuu hakua kinachoshindikana
Kwanza nkuulize unatumia namba ile ile.? Kama ni ndio fanya hivi
Ukishafungua hyo whatapp mpya ukishaingiza namba yako utakutana na maelezo yaku fanya backup au ku skip
Ukibackup bas data zako zote zilizokuepo kule zitakuja uku..... Ukiskip hutopata data zzako ila group zako zitakuepo kama kawaida japo utakua kama mgeni
Ila pia kufanya backup itahtaj uwe na memory yakutosha

Ila kama umebadiri namba haiwezekani.... For my own knowledge
 
Hio simu ya awali hata kwenye computer haiwi detected?

What's app inasave vitu vyake offline, message, picha, magroup na vitu vyengine vipo simu ya zamani, ukiweza kuiwasha ama hata ku access mafile kupitia computer utayacopy na kuhamishia simu Mpya.

Alternative Kama uli backup na Google drive unaweza ku restore.
yeah back up huwa tunajisahau kufanya ....kama alifanya itawezekana
 
Haiwezi kurudi kwasababu ulidelete account ukaanza upya..
Tafuta namba za ma admin wakuunge tena.
Hiyo mpya fanya hivi
Ingia kwenye setting ya WhatsApp
Fungua chats
Kisha back up weka e-mail yako.
Utanishukuru baadae ukija kupoteza simu tena
 
Back
Top Bottom