Osama ashraf
Member
- Jul 16, 2019
- 8
- 0
Jaman naomba msaan kuelekezwa kama kuna app au njia yeyote ambayo itanisaidia kuplay music bila kutumia data katika iphone
Utaweza lakini kikawaida zinakaa kwenye app husika, na siku ukitoa hio App zenyewe nazo zinatoka, Kuna baadhi ya Apps Zina uwezo wa kusave kwenye folder la miziki la iPhone (Hata ukitoa hio app miziki itabaki) sema app za namna hii zinakuwa ni za muda tu maana hairuhusiwi kwa terms za Apple.
Jaribu moja inaitwa documents na developer wake ni readdle, Ina built in browser kwa ajili ya kudownload na file manager abilities kumove file Toka folder moja kwenda jengine.
Njia ni hio hio mkuu, tumia browser iliyopo ndani ya documents Halafu download movies unazotakaVipi ku download movies kwa iPhone
bila kusahau ataangalizia humo humo.Njia ni hio hio mkuu, tumia browser iliyopo ndani ya documents Halafu download movies unazotaka
Sema njia hii inabidi hizo movies ziwe na direct links, mfano udownload Toka openload ama utumie direct links nyengine.
Documents inaweza hamisha kwenye main album, sema sio permanent mara kwa Mara hutolewa store.bila kusahau ataangalizia humo humo.
Utaweza lakini kikawaida zinakaa kwenye app husika, na siku ukitoa hio App zenyewe nazo zinatoka, Kuna baadhi ya Apps Zina uwezo wa kusave kwenye folder la miziki la iPhone (Hata ukitoa hio app miziki itabaki) sema app za namna hii zinakuwa ni za muda tu maana hairuhusiwi kwa terms za Apple.
Jaribu moja inaitwa documents na developer wake ni readdle, Ina built in browser kwa ajili ya kudownload na file manager abilities kumove file Toka folder moja kwenda jengine.
Kama una PC tumia iTunes kuweka nyimbo kutoka kwenye PC
Download app ya iTunes kisha install kwenye PC yako, utaipata kwenye website ya Apple au itafute kupitia Google utapata links za kui-download. Ukisha-install kwenye PC ifungue kisha connect waya kwenye iPhone yako na PC kwa kitumia waya wa kichajia. Baada ya hapo simu yako itasoma kwenye iTunes na utaona sehemu za photos, music, movies n.k. Chagua kama ni nyimbo utaingiza kwenye music, kama ni video kwenye movies. Ukishafanya hivyo fungua file lenye nyimbo kutoka kwenye PC yako alaf uta-select nyimbo kisha utazi-drag kuelekea kwenye iTunes (Music) nyimbo zitakopiwa na kuingia kwenye simu yako baada ya hapo utakuwa tayari umeweka nyimbo kwenye iPhone yako kwa matumizi ya offline. Kwa msaada zaidi pitia tutorials zipo YouTube zikionyesha kwa picha jinsi ya kufanya hivi ni rahisi sana.Nafanyaje fanyaje
Download app ya iTunes kisha install kwenye PC yako, utaipata kwenye website ya Apple au itafute kupitia Google utapata links za kui-download. Ukisha-install kwenye PC ifungue kisha connect waya kwenye iPhone yako na PC kwa kitumia waya wa kichajia. Baada ya hapo simu yako itasoma kwenye iTunes na utaona sehemu za photos, music, movies n.k. Chagua kama ni nyimbo utaingiza kwenye music, kama ni video kwenye movies. Ukishafanya hivyo fungua file lenye nyimbo kutoka kwenye PC yako alaf uta-select nyimbo kisha utazi-drag kuelekea kwenye iTunes (Music) nyimbo zitakopiwa na kuingia kwenye simu yako baada ya hapo utakuwa tayari umeweka nyimbo kwenye iPhone yako kwa matumizi ya offline. Kwa msaada zaidi pitia tutorials zipo YouTube zikionyesha kwa picha jinsi ya kufanya hivi ni rahisi sana.