Habari wana jamii forum naomba msaada mwenye kujua kioo cha simu ya sumsung galax s8, au housing na kiooo maana kimepasuka chambele na cja nyuma , simu yangu imepasuka kioo ikiwa bado mpya naomba...
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye...
Simu yangu ya samsung note 5 imepasuka kioo kwa ndani na kupelekea kutoonyesha chochote kwahio natafuta kioo full ambacho kinafanya kazi mwenye nacho please bei inbox au hata kwenye comment
Telegram haitaki kuconnect ingawa ishakuwa downloaded katika simu yangu iphone 6plus"check connections or proxy address sielew elewi hapa ndio nini hii ?
Kusema ukweli, kwenye haya maswala ya intaneti— naweza kuwa kati ya wahenga nchini hapa; maana nakumbuka matumizi yangu yalianza mwanzo wa mwaka 2000, nikiwa bado mdogo sana. Enzi hizo nakumbuka...
Sisi wapenzi wa nokia tulikuwa tunasubiri mapinduzi kwenye upande wa camera department kama ilivyofanyika 2012 na pureview technology.
Tulishuhudia simu ya kwanza duniani kuja na megapixel 41...
Specification ni kama inavyoonekana pichani, IPO katika hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani. Kuna baadhi ya software ni installed kama Office HDD 300GB
Bei 390K
Heshima kwenu wakuu.
Nafahamu kuwa jukwaa hili limejaa watu wenye utalaamu wa aina mbalimbali.
Nataka kutayarisha booklet dongo kabisa ambayo unaweza kuiweka hata kwenye mfuko wa shati ,lakini...
Samahani wadau nahitaji kujua zaidi kuhusu mifumo mbalimbali MF human resources management system stork management system , nk nachotaka n elimu ndogo tu kuhusiana na haya masuala MF faida...
Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.