Techno Y6 kushindwa kuinstall app na video

F

franknombo

Member
Joined
Mar 30, 2019
Messages
26
Points
45
F

franknombo

Member
Joined Mar 30, 2019
26 45
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu naomben msaada wadau
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,779
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,779 2,000
SIMU YAKO INA STORAGE KIASI GANI MKUUKWELI ALIYESEMA TECNO NI KIFAA CHA MAWASILIANO HAKUKOSEA
 
Tony-stark

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
230
Points
250
Tony-stark

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2019
230 250
Jaribu ku Clear data chrome app.
 
F

franknombo

Member
Joined
Mar 30, 2019
Messages
26
Points
45
F

franknombo

Member
Joined Mar 30, 2019
26 45
Asante mkuu nimefanikiwa kwa kutumia mbinu hyo
 
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Messages
4,324
Points
2,000
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined May 18, 2015
4,324 2,000
UZA TEKNO HIYO UNUNUE SIMU MKUU...HUTOPATA HIZO STRESS UTAISHIA KUZISIKIA TU KWA TECNO USERS WENGINE
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top