Mtafiti abuni kitasa kinachofunguliwa na simu

Mtafiti abuni kitasa kinachofunguliwa na simu

Makanyaga

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,818
Reaction score
7,562
Source: http://mtanzania.co.tz/mtafiti-abuni-kitasa-kinachofunguliwa-na-simu/

CHRISTINA GAULUHANGA – DA ES SALAAM


Mtafiti kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Filbert James, amebuni kitasa cha mlango wa nyumba kinachofunguliwa kwa simu ya mkononi ili kukomesha utumiaji funguo bandia.


Akizungumza na MTANZANIA katika Maonyesho ya Sabasaba leo Jumamosi Julain 6, Filbert amesema kukamilika kwa mfumo huo kutasaidia pia kuepukana na suala la uvunjaji kufuli.


Amesema mfumo huo unasaidia kufungua geti la mlango unaotembea ambapo mtumiaji akishaingia geti hujifunga lenyewe.


“Ili kupata mfumo huu ni la lazima uwe na mlango wa kutembea na mota halafu unaingiza simu kadi ambayo ndio itakuwa inakuruhusu kama unafahamu namba yake ya simu na ukichukua namba nyingine kiholela inagoma hadi ile uliyoitambulisha kwenye mfumo,” amesema.
 
Kawaida sana hiyo, tena yeye anatumia smartphone, ni Technologia ya Remote Control. Yalishafanyika hayo
 
Mbona hiyo imeshagunduliwa mda na wenxetu mpaka kaxini kwangu tunatumia na ni miaka sasa. Labda am wrong
😂😂si kuna professor wetu mwingine walisema amegundua kilimo ambacho hakitumii ardhi (hydroponic) !?
 
[emoji23][emoji23]si kuna professor wetu mwingine walisema amegundua kilimo ambacho hakitumii ardhi (hydroponic) !?
[emoji23][emoji23][emoji23] du anatumia hewa ama anatumia toho mtakatifu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
uyu ni mtafiti au ni nani jamani, amesahau kwamba kuna finger print lock, facedetect,voice nakadhalika. ila poa kwa level ya nchi na mkuu anapenda tz ya viwanda fresh
 
Quick way to implement it:

It can be done it three ways:
1. Bluetooth controlled (by an Bluetooth MIT inventor app. configured and installed in a mobile phone) with HC-05 or HC-06 Bluetooth sensor module
NB: limited distance which depends on power and response speed. Usually 10-100meters depends also tot he type of sensor used.

2. Infrared Remote (IR) controlled. Usually bay a pair of TSOP 1738 receiver with any TV remote or car MP3 remote. Shortest operating distance among the above, usually <5m


3. GSM based control. Using a SIM800/900 or A6, A7, etc. based GSM/ GPRS modules to receive a control text/code sent. Unlimited distance, but a 2G network! not bad.

The choice of any one above depends on cost, performance/response, power consumption, reliability, robustness and user friendly.


With a handful of low level microcontroller on circuit-board(Arduino) or microcontrollers: x51/x52, PIC, ESP32, STM etc) and some 10-45 lines of C/C++ codes and a customized PCB, DC power supply (Li-ion battery) a relay to open a solenoid lock and you're done.
 
Wauzaji wa Adruino waje humu dronedrake
Hawa jamaa wanahangaika kujiita wabunifu, ilhali proven market products zipo.

Agiza smart lock mtandaoni. Checki amazon. Unaweka na smart home hub. Mchezo kwisha.

Ukihitaji kitasa kinachojifunga chenyewe, agiza electronic deadbolt kama hichi changu. Hakuna kutembea na funguo, ni PIN code tu.

Neno ubunifu linachukuliwa poa sana bongo.
20190728_004847.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] du anatumia hewa ama anatumia toho mtakatifu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hata wewe hukijui hicho kilimo!..
Hydroponic hutumii udongo ni maji na virutubisho unapata mazao yako!!..
 
Kama ni suala la kujua tu no ya simu na ukiipiga geti linafunguka, watalia wengi sana..
 
Haya mambo ya kutotumia funguo yapo kitambo. Ila ni vizuri watu wakajua kutengeza wenyewe hapa na sio kila kitu kwenda kuchukua nje.
Sasa kama yapo tayari huo si ugunduzi tena.
 
Shida vijana wengi wakiwa chumbani na kupata wazo la kutengeneza kifaa fulani, hawaendi kuangalia kwenye mitandao mfano Google patents (https://patents.google.com/) kama kuna ubunifu unaolingana. Utashangaa upo na tayari una patent.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom