Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 672
- 1,390
Sijuagai developer wengi wa TZ tunashida gani, Tunaishia kutegeneza vi-blog tuna ng'ang'ana na GOOGLE ADs , Website za shule na taasisi na vi-system vya pharmac na HR tunapewe ela za kujikim siku mbili tatu baada ya hapo tunarudi kwenya hali ya ukata kama kawa, Sasa habari yetu ni mbaya Hapo rwanda wameanza nchakato wa kudevelop kitu kama paypay kwa ajili ya africa tech hub za huko zimesha anza mchakato.
Kweli developer wa TZ tumeshidwa kuunganisha nguvu tukawawahi wa rwanda hata kama sio 100% kama paypal, website za TZ zikaanza mfumo wa hapa hapa TZ kufanya malipo.
Tukishidwa na hapo Tujiande kuwasifia wa rwanda wakimaliza project yao. Hata kama hatuna ela skills tulio nayo kichwani ni zaidi ya mtaji, yani payment rail inatushida
ndo maana sometimes tunaitwa IT vitini, inabidi tufanye kitu tuwa prove hawa watu wrong