Selemani944
Member
- Jun 15, 2019
- 20
- 15
jinsi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sana
pia kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada wataalamu..
natumia desk top (IBM)
pia kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada wataalamu..
natumia desk top (IBM)