Computer skills & Web Programmig

Babjitz

Member
Oct 19, 2015
31
95
Habari wakuu wa mjengoni, natumai mpo frexh na mishe mishe za kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye pont:
Naam, ebana katika dunia ya sasa teknolojia imekuwa ni kipaumbele katika sekta nyingi sana hivyo ni muhimu kwetu sisi pia kuweza kuielewa ishu hii hapa ya teknolojia ili twende sambamba na dunia hii ya leo.
Wapo watu(baadhi) ambao pengine wametamani kujifunza walau maujanja flani flani ila inashindikana kutokana na matatizo mbali mbali kama vile fedha kwani baadhi ya wanaotoa mafunzo hayo wanahitaji malipo hivyo kukwamisha mipango ya watu hao(Wapenda Teknolojia).
Hivyo basi nimeamua kuleta uzi huu maalum siku ya leo kuwafahamisha kwamba mafunzo ya Computer na Web programming yatatolewa bureeeee kabisa kwa watakaopendezwa na kujifunza.

Kuna grupu jipya limeanzishwa la <a href="WEB PROGRAMMING- CLASS">WEB PROGRAMING- CLASS</a> hivyo kwa begginers au unapenda kujiendeleza. Jiunge sasa kupata somo

Shukran
 
zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
228
225
huko tutajifunza nn zaidi
Habari wakuu wa mjengoni, natumai mpo frexh na mishe mishe za kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye pont:
Naam, ebana katika dunia ya sasa teknolojia imekuwa ni kipaumbele katika sekta nyingi sana hivyo ni muhimu kwetu sisi pia kuweza kuielewa ishu hii hapa ya teknolojia ili twende sambamba na dunia hii ya leo.
Wapo watu(baadhi) ambao pengine wametamani kujifunza walau maujanja flani flani ila inashindikana kutokana na matatizo mbali mbali kama vile fedha kwani baadhi ya wanaotoa mafunzo hayo wanahitaji malipo hivyo kukwamisha mipango ya watu hao(Wapenda Teknolojia).
Hivyo basi nimeamua kuleta uzi huu maalum siku ya leo kuwafahamisha kwamba mafunzo ya Computer na Web programming yatatolewa bureeeee kabisa kwa watakaopendezwa na kujifunza.

Kuna grupu jipya limeanzishwa la /chat.whatsapp.com/BAtFSAUWoLIJbcpn0WwRwO"]WEB PROGRAMMING- CLASS">WEB PROGRAMING- CLASS[/URL] hivyo kwa begginers au unapenda kujiendeleza. Jiunge sasa kupata somo

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kapistrano

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,245
1,500
Kama upo Arusha au kwa mtu yoyote mtaalamu ambaye anaweza kufundisha kwa vitendo tuwasiliane(PM) dau la malipo lipo.
 
mamserenga

Member
Feb 24, 2019
28
45
Nashukuru kaka ila mwezi huu mwishoni naenda nunua PC mpya nahisi nitachelewa kuanza.

Ila nitakuwa tayari
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom