Naomba msaada kwa anaefaham kuhusu watch hours youtube maana niliwah ambiwa humu ukiwa na watch hours zaidi ya 4000 unaeza sign monetization contract na youtube ukaanza kulipwa.
Picha nilizoweka...
Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen?
Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv
Computer yangu ukifanya updates ya drivers inagoma kabisa, Baada ya driver kuinstall huwezi hata connect [/moderm/] hapa mpaka nirestore system tofauti ndo inakubali>>> nimejaribu kufanya updates...
habari za muda huu wakuu,nina printer aina ya HP Deskjet 2130All-in-One,nina print kazi zangu vizuri tu, ila ku scan document ile app kwenye desktop haifunguki kabisa,na hii imenitokea kwenye...
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki popote unapo usoma uzi huu
Lengo kuu ni kujuana fani zetu kati ya baadhi nimeorodhesha hapo juu ili tuweze kuelezana changamoto, faida na hata kupeana...
Computer ya kazi imepatwa na Hitilafu Tatu.
1.kushindwa kufungua document na kuniandikka maelezo kama haya ..
2.Computer inaonesha ni kiasi gani imeingiliwa na virus..
3.Nikiwasha data au...
Habari wadau uwa natumia hiko kifaha hapo chini kuingilia kwenye internet sasa bando likiisha uwa naona tabu kutoa laini kuweka kwenye simu na kuinga bando kuitoa tena kuirudisha humo,swali hamna...
Pc yangu Hp 250 g5 niliichaji siku mbili mfululizo... Siku ya tatu nkakuta ina ttzo kukaa na chaji.
Yaani nikiondoa tu charger inazima... Umeme tu ukizima na yenyewe inazima
Mwenye ujuzi wa namna...
Salama wakubwa
Mi ni mdau wa Apps, nimefanikiwa jitahidi develop app inaitwa video 4 me iko playstore tayar inadeal na videos. Sasa kazi kubwa ilikua ni kuipromote ili ipate installs. So nikaona...
Habar zenu wana jf,naomba msaada wenu kwa jambo hili, siku chache zilizopita niliapply chuo cha udom kupitia internet cafe,jana nilijaribu ku-sign in ili kuangalia taarifa zngu cha kushangaza ile...
Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube...
This Ads Manager WP Plugin has built in click fraud protection for third-party ads such as Adsense that allows you to hide the ad after it has been clicked x times by the same visitor.
Hii...
Habari wana JF, kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanasumbuliwa sana na meseji za promosheni basi hii hapa ndio njia rahisi na ya haraka ya kuzuia meseji hizo kuingia kwenye simu yako. Njia hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.