Nimesubiri 4G ya Airtel hadi nimechoka

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,241
4,466
Yaani uvumilivu umenishinda. Nimesubiri 4G internet ya Airtel mpaka nimechoka. Simu zangu zimekuwa zina support matumizi ya internet ya 4G, lakini Airtel wamenifanya nizitumie kwa udogo.

Nihamie mtandao upi?
 
Kati ya mitandao mibovu kwenye internet aisee Airtel ni namba moja mkuu.

Kama ni internet bora utumie Halotel au voda kiongozi ila hao Airtel ni hovyo kabisa mkuu.

Nawasilisha tu.
 
Hahahahaha mkuu subiri tu subira uvuta heri punguza papara na haya mambo wakati mwingine neno 4g lisikutie ujinga sana
 
Mkuu itategemea upo maeneo gani kama upo dar fasta chukua TTCL yani wapo vizuri sana 4g muda wote
 
Aise yani ni rahisi sana kama kupata universo ofa utapata mb 800kwa tsh 500saa 24 na gb 3kwa tsh 2500kwa siku 7
 
NDIO KWANZA WANAIMARISHA 3G, SAHAU KWA SASA 4G.

Airtel rolls out 3G in 900MHz band

10 Nov 2017
tz.png
Tanzania

Airtel Tanzania, the local mobile unit of Indian telecoms group Bharti Airtel, has revealed it is rolling out 3G technology in the 900MHz frequency band, with the aim of improving the quality and coverage of its mobile data services. Work on the ‘U900’ project has already been carried out in the cities of Dar es Salaam, Arusha and Mwanza, to be followed by Dodoma, Morogoro and other locations. TeleGeography’s GlobalComms Database notes that Airtel launched a 3.5G HSDPA network, operating in the 2100MHz band, in December 2008 and went on to introduce HSPA+ services in March 2012, boosting theoretical data rates up to 21Mbps.

Tanzania,Airtel Tanzania, Wireless

Airtel rolls out 3G in 900MHz band

Tanzania: Airtel Set for Massive Network Transformation
 
interesting, sio minara inayotumika na smart?

Mhandisi Mzalendo
 
Mkuu itategemea upo maeneo gani kama upo dar fasta chukua TTCL yani wapo vizuri sana 4g muda wote
TTCL wamazingua sana mida mingine asee. Kuna kipindi speed unaweza kuifurahia ila muda mwingine majanga. Kama jana nilijiunga na kifurushi chao kile cha usiku lakin speed ilikua kama ya kobe, matokeo yake nikaishia kutumia 3GB badala ya 10GB
 
Kati ya mitandao mibovu kwenye internet aisee Airtel ni namba moja mkuu.

Kama ni internet bora utumie Halotel au voda kiongozi ila hao Airtel ni hovyo kabisa mkuu.

Nawasilisha tu.
Usikariri kiongozi speed ya internet inategemea na eneo ulilopo.
Kwangu mimi airtel haijawahi kuniangusha nikiwa home nashusha mzigo hata hata wa gigabytes bila wasiwasi nikiwa na 3G internet na wakati mwengine huwa inakwenda mpaka 2.5Mbs per second.

Usikariri
 
Jamaa ndio wanatest mitambo nadhani.
Nipo Manzese hapa kwa ila siyo kali kivile maana kwa IDM speed inasoma hadi 3Mb/sec ambayo Halotel 3G wanaikaribia.
 
Kati ya mitandao mibovu kwenye internet aisee Airtel ni namba moja mkuu.

Kama ni internet bora utumie Halotel au voda kiongozi ila hao Airtel ni hovyo kabisa mkuu.

Nawasilisha tu.
Mimi nainjoi airtel, 4g fasta... kwa sasa sitoki..
 
Back
Top Bottom