MSAADA JAMANI NI KUHUSU CAPTCHA

sashsnipel

sashsnipel

Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
11
Points
45
sashsnipel

sashsnipel

Member
Joined Jul 14, 2019
11 45
nataka kufungua akaunti paypal kwa kutumia website sasa na jaza vyote ila kwenye captacha pana nishinda je wana jazaje hapo.
 
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
375
Points
500
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
375 500
mimi karibia huduma zote zinazotumia hiyo captacha zilishanishinda najaza vibox vyote ila vinazid kuja tu aiseee......
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,159
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,159 2,000
nataka kufungua akaunti paypal kwa kutumia website sasa na jaza vyote ila kwenye captacha pana nishinda je wana jazaje hapo.
Jaribu ku google 'how to use captcha'.
 
iamnelsonblak

iamnelsonblak

Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
90
Points
150
iamnelsonblak

iamnelsonblak

Member
Joined Jul 20, 2018
90 150
Inategemea na CAPTCHA inaleta ujumbe gani ishu sio kujaza vibox vyote soma maelezo inaweza kukuletea magari, nyumba alafu ikaleta ujumbe uchague magari tu, ukimaliza submit ni rahisi tu hii wanaitumia ili kuhakikisha mtu anayetumia huduma husika sio robot
 
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined
Oct 12, 2017
Messages
105
Points
225
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined Oct 12, 2017
105 225
Pale wanaandika tiki labda alama za balabalani unafanya ivyo alafu inakuja tena tiki labd unakoona kuna alama ya mgahawa ivyo unafany easy tu mpak unamaliza
 

Forum statistics

Threads 1,324,983
Members 508,911
Posts 32,179,522
Top