Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza...
AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je...
Ox Alpha is a free AI model that can look at your code and help you change it. It runs inside VS Code, a coding app.
You don't install VS Code on your computer — we use a browser version through...
Habari wakuu,
Mwanafunzi Gibons Jack Mwasabwite, Founder wa MAMA SAFELIFE kutoka MUST – DBEE.
Amewasilisha mfumo huu kwenye Maonesho ya Elimu Ujuzi na Ubunifu Tanga 2026.
Amebuni kifaa cha...
Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi
1-Kupitia Payoneer
2- PayPal...
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta...
Tunajua kabisa password za akaunti mbalimbali ni siri .Lakini Kuna Watu Wanazigundua .Kuna Rafiki yangu mmoja akaunti yake ya facebook iliibiwa na hacker akapost picha mbaya kuchafua jina...
Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. 😳.
Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia...
•Kuna Siku Moja Nilikua Na Mteja Akaniuliza Ivi Verified Tukiongea Njee Ya Biashara Unaona Kuna Tofauti Yoyote kati ya iphone 13 plain Na Iphone 14 plain? Nikabaki nikitafakari…Juzi Pia Tulikua...
Wadau,
Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana...
Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote..
Unaweza pandishwa CHEO au Kupata kazi kirahisi Kwa kujua...
Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa.
Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia...
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy...
Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama...
Refurbished si tatizo.
Tatizo ni greed, deception na kumuuzia mteja kitu tofauti na kile anachoamini amenunua.
Na ndio maana sikuhizi mitandaoni utaona videos nyingi zinatrend wateja wakipeleka...
🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO!
#4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi...
Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax.
iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8...
Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila...
Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥
Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla...
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy...
Katika kupiga hesabu zangu na kuziangalia nyota, kuwaza na kuwazua nimefikia hitimisho kuna uwezekano mkubwa tupo wenyewe huku ulimwenguni.
Dalili zote zinanionyesha uhai uliopo duniani, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.