Masada: Taa ya chaji ya pc kuwaka na kuzima

Jamespro

New Member
Joined
Mar 24, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Pc yangu ni hp ryzen taa ya pc nikiweka chaji inawaka na kuzima rangi nyekundu, nikajaribu kutoa betri inaendelea vile vile ila safari hii ni taa nyeupe,,nimejaribu kuwasha lakini haiwaki,,nimebadilisha chaji lakini ni vilevile shida ni nini na inawaeza kutengenezeka?
 
Internal static electricity inasumbua jaribu kufanya hard reset, chomoa kila kitu, kisha bonyeza power button kwa sekunde 30 mfululizo.
 
Pc yangu ni hp ryzen taa ya pc nikiweka chaji inawaka na kuzima rangi nyekundu, nikajaribu kutoa betri inaendelea vile vile ila safari hii ni taa nyeupe,,nimejaribu kuwasha lakini haiwaki,,nimebadilisha chaji lakini ni vilevile shida ni nini na inawaeza kutengenezeka?
Ni hp ngapi ngapi? Ili tugoogle maana ya hizo taa.
 
Back
Top Bottom