Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa.
Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi...
Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
UZI ….
Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …
Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini...
Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)
CapCut Course: Beginner to Advanced
🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya:
Content creators (TikTok, Instagram, YouTube)
Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza...
Hello, fellow Tanzanians! I'm currently at the Tanzania Students Achievement Foundation (TanSAF) [a non-profit that helps high-achieving, generally low-income post-high school students secure...
Habari wadau,
Ninatafuta kifaa ambacho kitaweza kunibadishia umeme single phase kwenda three phase kwa ajili ya mashine ya kusaga. Mahala kulipo na mashine hakuna umeme mkubwa, upo wa kawaida wa...
Jambo hili watu wengi Hawalifahamu na ndio silaha ya mwisho kwa watumiaji wa Samsung Kwa Iphone …!
Kwa sasa mchuano kati ya Samsung Na Iphones ni Mkali sana mbele ya umati na mamilioni ya...
UZI ….
Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …
Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini...
Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃.
Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na...
Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️🔥
Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna...
Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? 👀🔥
Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250...
🌕🇺🇸 “THE MOON IS OURS.”
marke
Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. 😳🚀
Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli...
Wakuu bila kupoteza muda, Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.
Haina ubishi, hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa...
Nakutana na changamoto kwenye email address yangu ya yahoo. Kila nikijaribu ku-recover naishia pale inaponitaka kuweka namba yangu ya simu, badala ya kunitumia code namba inasema "something went...
I've been comparing the official WhatsApp app with modified versions such as GB WhatsApp, and I'm curious what other users think.
The official app is obviously the more straightforward option...
Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama.
Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya...
Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋
WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱
Ukiwa unaangalia...
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k...
Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.