Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 386
- 287
wakuu naombeni msaada wa jinsi ya ku unlock ii ata kwakulipia online.
wakuu naombeni msaada wa jinsi ya ku unlock ii ata kwakulipia online.
Habari na mimi napitia hiyo vhangamoto mkuu ya kuunlock router ya huawei LTE E5180s-22 naomba nieleleze nafanyaje mkuuhatimaye nilifanikiwa mwenye router kama ii anicheki nilipata code yakufungulia
Ilikuwa ya mtandao gani
Local provider
Habari wana sim card kwani sini fiber iyo unaweza tumia kusambazia wifi azinaga lock ni setup tu