Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu? Nauliza ni App ipi ya free ninayo weza kuangalia mpira kwenye smart tv? natanguliza shukrani.
4 Reactions
4 Replies
136 Views
I've been comparing the official WhatsApp app with modified versions such as GB WhatsApp, and I'm curious what other users think. The official app is obviously the more straightforward option...
1 Reactions
1 Replies
54 Views
Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋 WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱 Ukiwa unaangalia...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k...
17 Reactions
26 Replies
722 Views
Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani...
4 Reactions
13 Replies
239 Views
  • Featured
Wakuu, leo September 9 Apple wamezindua simu zao mpya iPhone 17 series pamoja na bidhaa nyingine kama airpods na Apple watch matoleo mapya. Kwa kuanza na iPhone, jumla ya simu nne zimezinduliwa...
21 Reactions
206 Replies
8K Views
Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili". Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮‍💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya...
1 Reactions
5 Replies
113 Views
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
4 Reactions
143 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda huu, poleni na majukumu Nina changamoto yangu moja naomba msaada, nina taa yangu moja ni Watts 5 Dc nataka ikae inawaka kwa masaa 12 na kuchaji simu pia. Hivyo nilikuwa...
3 Reactions
12 Replies
449 Views
A user-friendly website should have simple navigation, fast loading speed, mobile responsiveness, clear content, and an attractive layout. Easy-to-find menus and well-organized information help...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm. Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed. Mfano...
10 Reactions
81 Replies
2K Views
Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo. Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play...
4 Reactions
1 Replies
73 Views
Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza...
3 Reactions
5 Replies
130 Views
Wadau za jioni, nataka kujua kati ya GB Whatsapp na FM Whatsapp ipi ni bora kuliko mwenzake? Maana nashindwa kujua ipi bora nataka nihame Whatsapp ya kawaida. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
35 Replies
11K Views
1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana...
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja. Sasa Google Photos...
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Back
Top Bottom