Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
8 Reactions
46 Replies
590 Views
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Je soundbar inaweza kuja kuuwa soko la sabufa,? Je soundbar kama Alitop Sound bar SP - 1036 inaweza kuwa bora zaidi kulinganisha na sabufa za bei ya chini kama mr UK na Sean peano? Je ni wakati...
0 Reactions
2 Replies
54 Views
Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako 👋. YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini...
6 Reactions
1 Replies
80 Views
Nahitaji kununua motor used 11kw au 15HP au kusuka speed angalau iwe 2900 rpm
1 Reactions
8 Replies
96 Views
Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu Nahitaji gaming laptop USED yenye rtx graphic card 2060 vram 6gb Core i7 gen 11 CLEAN CONDITION UKAAJI WA CHAJI ATLEAST MASAA 3 KWA KAZI NDOGO NDOGO KAMA MOVIE ,MS...
2 Reactions
0 Replies
51 Views
Matumizi makuu ni video editing, zote Bei kwenye 1.8 Mil hadi 2.3 Mil.
5 Reactions
21 Replies
357 Views
Wakuu habari, Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji. Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo...
1 Reactions
13 Replies
112 Views
Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao...
8 Reactions
13 Replies
344 Views
🍎 Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni 👊. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Watu Wengi Wananunua MacBook Bila Kujua Mambo Haya 3 Muhimu Wewe Usiwe Mmoja Wao Kwenye ulimwengu wa teknolojia, jina la MacBook limejijengea Heshimaa kubwa. Ni kweli, ni laptop zenye muundo...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃. China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini...
18 Reactions
56 Replies
1K Views
Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating...
4 Reactions
22 Replies
151 Views
wakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4 TB wanauza 35k. hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
5 Reactions
25 Replies
718 Views
Wakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
1 Reactions
17 Replies
211 Views
### KICHWA CHA HABARI (Title): UCHAMBUZI: Je, Sera Mpya ya Elimu ya Amali Inatekelezeka au ni Ndoto za Mchana? ### MAELEZO YA MADA (Body/Thread): Salamu kwenu Great Thinkers wa Jukwaa la Elimu...
1 Reactions
2 Replies
46 Views
Wakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
ASILI NA SAYANSI Katika maisha haya ya leo tunajua na kufahamu uwepo wa asili na sayansi, asili ni nini na sayansi ni nini, haya ni maswali mtu anapaswa kujiuliza katika safari ya utambuzi...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Back
Top Bottom