Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy...
Katika kupiga hesabu zangu na kuziangalia nyota, kuwaza na kuwazua nimefikia hitimisho kuna uwezekano mkubwa tupo wenyewe huku ulimwenguni.
Dalili zote zinanionyesha uhai uliopo duniani, ni...
Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini...
Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu.
Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya...
1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa...
Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp...
Kwa walio interested na kuearn real extra income, kuna AI training jobs zinazolipa from $12/hr to 150/hr kulingana na expertise kwenye field husika. Kuna various fields za kila aina mfano law, IT...
Japan Inajaribu Mtandao wa 6G wenye Kasi ya 112Gbps: Unaoweza Kushusha Faili la 10GB kwa Chini ya Sekunde Moja.
Japan imefanya jaribio linaloweza kuwa hatua muhimu kuelekea kizazi kijacho cha...
• Hivi Majuzi Google walitoa Pixel 11 Series zikiwa features na maboresho mbali mbali…
•Pixel 11 Plain , Pixel 11 Pro , Pixel 11Pro XL
•Ni Nini Mtazamo wako juu ya matoleo Haya?
Verified...
China imeanza majaribio ya kutumia roboti kwa ajili ya shughuli za barabarani ikiwa ni pamoja na kuongoza magari. Hata hivyo roboti hao hawana mamlaka ya kumkamata mtu pale anapokosea au kukiuka...
Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱
Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps...
Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡
Google iliitoa update hii Toka 17...
For Education Purpose.
Zima King'amuzi.
Bonyeza OK botton katika King'amuzi
Kisha washaa kwa kutumia remote.
subiri iwake....
kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi.
baada ya kuzima...
Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza
Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web...
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa...
HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo...
N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26)
Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi...
Google Pixel 11 vs Samsung Galaxy S26: Je ipi simu bora kabisa ya android kwa sasa kati ya hizi?
---
Google na Samsung zimeingia tena kwenye ushindani wa kutafuta mfalme wa Android. Pixel 11...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.