Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡ Google iliitoa update hii Toka 17...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Naomba kujua namna ya kuondoa ujumbe wa STB kwenye dikoda ya AZAM Asante.
0 Reactions
0 Replies
30 Views
For Education Purpose. Zima King'amuzi. Bonyeza OK botton katika King'amuzi Kisha washaa kwa kutumia remote. subiri iwake.... kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi. baada ya kuzima...
10 Reactions
68 Replies
19K Views
Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web...
1 Reactions
4 Replies
79 Views
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire. Location: dar Bajet 100k. Brand nzuri. Muundo mzuri. Charge ndefu. Picha ya mfano wa...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo...
1 Reactions
19 Replies
322 Views
N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi...
2 Reactions
20 Replies
312 Views
Google Pixel 11 vs Samsung Galaxy S26: Je ipi simu bora kabisa ya android kwa sasa kati ya hizi? --- Google na Samsung zimeingia tena kwenye ushindani wa kutafuta mfalme wa Android. Pixel 11...
2 Reactions
7 Replies
166 Views
Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic. Samsung wali lunch s20...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu...
11 Reactions
76 Replies
584 Views
Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo. Kwa upande wa TV zipo kampuni...
30 Reactions
328 Replies
46K Views
Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Japan imezindua shati lenye mfumo wa kupoza mwili (Air-Conditioned Shirt) ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi kwenye mazingira yenye joto kali. Shati hili lina feni ndogo zinazotumia betri na...
3 Reactions
14 Replies
207 Views
Wakuu katika pita zangu kwenye application ya Vodacom(Mpesa)nimeona kuna ku link account ya PayPal..Sasa naomba kujua kama inapokea..je mpesa wameingia partnership na PayPal???
4 Reactions
84 Replies
1K Views
Wakuu wataalamu wa python na selenium, na JS playwright Tukutane hapa. Tupeane uzoefu na utaalamu.
3 Reactions
37 Replies
486 Views
Wakuu vipi kwema,, simu tajwa hapo juu nimeona nikaipenda sana,, ina umbo dogo sio Nzito,, naombeni mnipe mazuri yake na mabaya yake
1 Reactions
11 Replies
139 Views
Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi?? Nataka kufanya MAOMBI. Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
4 Reactions
24 Replies
443 Views
Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu...
15 Reactions
22 Replies
681 Views
Back
Top Bottom