Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji mwenye kujua namna ya kupata network unlock password ya tecno rc6 kwa kutumia imei. Nipo mbali kidogo sina access ya pc.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
One of the Way is to Join Windows Insiders which will enable you to upgrade to windows 11 even if your pc does not meet system requirements. How to Join Windows Insider Programme? The Windows...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha tatizo lihusulo king'muzi cha azam baada ya kukitumia kwa muda wa mwaka mmoja Leo kimekuja na usemi wa (no program), nimefanya kila aina ya utundu lakini...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Naombeni msaada wakuu nikiweka laini za tigo hazisomi intenet. Simu zenyewe ni galaxy A 71 Na galaxy A 72 Napata shida sana naipenda line yangu ya tigo .inabidi niweke line kwenye simu ingine...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kuna mjomba angu alikua anasoma Masters of ICT kwa research.Jana ameniambia kwamba proposal yake haipo innovative ( haona mchango mkubwa kwenye jamii) so inatakiwa abadilishe Title na kuanza...
1 Reactions
5 Replies
401 Views
Habari wakuu,naomba kufahamu kama wise wana huduma ya M-PESA hapa Tanzania,pili kama hawana basi napenda kujua card gani inapokea haraka bila kuchelewa. Nawasilisha wakuu. Sent from my M2101K7AG...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua [emoji3]watu wengi mna tv na Kuna wakati una safisha Tv yako ili kuipendezesha kuwa na muonekano mzuri. Lakini watu wengi hatutumi njia salama kusafisha Tv [emoji3] wengi wetu tunachukua tu...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
By Hannah Murphy in San Francisco Microsoft said it uncovered attempts by a Russian state-backed hacking group to hack into US and EU government institutions to conduct cyber espionage as part of...
1 Reactions
4 Replies
852 Views
Anayejua namna ya kutatua tatizo hili nisaidieni. Dogo amejibonyezea remote ghafla tv imekuwa hivyo
2 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu samahani yeyote anaejua jinsi ya kuremove outgoing caller ID, kuna mtu alichezea cmu yangu ya tecno akabonyeza *31# ikaingia outgoing caller ID nikitaka kupga simu hazitoki
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu...
1 Reactions
1 Replies
966 Views
Mtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na...
2 Reactions
12 Replies
998 Views
Kuna mtu au watu Toka wanunue simu hawajawahi kufanya Factory reset hata mara Moja? Factory reset process, ni kitendo Cha kuweza kufuta Kila kitu Kwenye simu yako kukifanya icho kifaa kiwe kipya...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Watu wengi wamekuwa wakitumia torrent clients ( kama u-torrent, bittorrent, vuze etc) kwa ajili ya kupakua movies na apps zenye file kubwa kutoka kwenye torrents sites mbalimbali lakini huwa...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Hiyo picha inajieleza wakuu Ninatafuta hako kabag original ya hiyo camera ndogo ya canon ixus kama kilivyo mana nimejaribu kuulizia mjini mana niko mkoani watu wa huko wanasema ni model ya zamani...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Ni hivi wapendwa mnamo jumanne nilikutana Na email ikinitaarifu kua Kuna mteja kanunua offer Katika mtandao huo wa people per hour. Lakini hakuishia hapo tu people per hour wenyewe wakaja na...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
Ni ile simu ya zero x pro niliouziwa 700k kutokana na maoni ya wadau wengi kusena kwamba nimepigwa eti ni bora ningechukua Redme note 10 pro. Mwarabu kaniruhusu nibadilishe maana hilo duka ni...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Jamani samahani, Naombeni zile code ambazo ukiweka kwenye firebase ukaweza zisome za website fulani na kwenye app posts zinabadilika
1 Reactions
0 Replies
669 Views
Back
Top Bottom