Msaada dogo ka format local Disk D.

Msaada dogo ka format local Disk D.

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,819
Reaction score
2,942
Habari waungwana, ninaomba msaada dogo ofisini kwangu ka format local disk D kwenye laptop yangu Acer Travelmate p253e. Je program gani inaweza saidia ku recover vitu vilivyofutwa? Sina raha nimetunza vitu toka 2012 vinafutwa kirahisi [emoji22]
 
Kama unazipenda data zako lakini...
1. Zima computer na hakikisha hiyo disk haujaribu kuifanyia chochote
2. Kama ame format na hajaweka data mpya data zako ziko salama
3. Tafuta mtaalam anayeaminika wa kurudisha taarifa zako

Narudia kama unazipenda data zako lakini...
 
Nazipenda sana mkuu kuna picha, documents na nyimbo mbali mbali
 
Nazipenda sana mkuu kuna picha, documents na nyimbo mbali mbali
Basi hakikisha unafuata huo utaratibu. Kila reckless attempt kwenye hiyo disk inapunguza uwezekano wa kuzipata hizo data. One mistake inaweza kupoteza data zote.
 
Pesa ipo tupige kazi nitafanya popote ulipo ukiwa unaona ila nilipe changu kabisa ndo nifanye kazi
 
Kama unazipenda data zako lakini...
1. Zima computer na hakikisha hiyo disk haujaribu kuifanyia chochote
2. Kama ame format na hajaweka data mpya data zako ziko salama
3. Tafuta mtaalam anayeaminika wa kurudisha taarifa zako

Narudia kama unazipenda data zako lakini...
Asante sana
 
nilifanikiwa ila naona nilielekeza recovered data ziende kwenye disk hiyo hiyo lkn hazifunguki
 
Jamani nimeishia hapa sioni kwa kuelekea nimetumia app inaitwa Herman recovery. Nikafanikiwa na kuona folder ninazotakiwa kuzirudisha nilimaliza nikaona local disk D imejaa space kufungua naona kuna ka faili ndani kameandikwa hivo kwenye picha naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani. Atakayeweza anisaidie kwa namba 0756364854 hii namba itakuwa hewani hadi 3 May pekee. View attachment 2204267
IMG_20220429_002627_348.jpg
IMG_20220429_002648_692.jpg
 
Jamani nimeishia hapa sioni kwa kuelekea nimetumia app inaitwa Herman recovery. Nikafanikiwa na kuona folder ninazotakiwa kuzirudisha nilimaliza nikaona local disk D imejaa space kufungua naona kuna ka faili ndani kameandikwa hivo kwenye picha naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani. Atakayeweza anisaidie kwa namba 0756364854 hii namba itakuwa hewani hadi 3 May pekee. View attachment 2204267View attachment 2204268View attachment 2204269
Huo wekundu ndio Disk baada ya kufanya recovery imejaa vile vitu ila kufungua havitaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom