Habari wakuu, naomba kuelekezwa njia nyingine ya kusave documents, picha, vitabu etc ukiachana na Google drive au kwenye email, Google drive nilikuwa naitumia mara kadhaa bt naona kama iko...
Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu...
Za mchana wana tech,
Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale...
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.
Ahsante
Wakuu mimi nataka kufaham namna ya ku enable OTG kweny sim yang sim ni Infinix Hot 10 play ila kila nikiweka iyo otg sio kitu nimeshatumia ile app ya search otg access inaonexha et cm hai support...
Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo...
Habari zenu Ndugu wana-JF,
Nimeamua kuandika article hii kutokana na kuona thread ya mtu mmoja akitaka kujua tofauti kati ya display za AMOLED na LCD. Hizi ni display za kisasa zenye ubora wa...
Wakuu habarini za jioni.
Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao...
Habarini za jioni wana jamii forums wenzangu.
Kama kichwa kinavyo jieleza nahitaji kujua iyo software ambayo itanisaidia kujua location ya mhusika kwa kutumia namba yake ya simu hata pengine IMEI...
Wadau, naish nyumba ya kupanga hapa dsm, natafuta used portable air condition kwa ajil ya matumizi yangu nyumban hasa wakat wa kulala, ila pia ninaomba mwenye ufahamu wa hizi mashine anipe dondoo...
Kwa wataalam wa mambo na watu ambao mmeshawahi kutumia hizi machine, ubora wake ukoje? Kweli ina inafua ubaridi ipqsavyo? Nataka kununua sasa sifahamu brand nzuri ni ipi au ukubwa kwa maana btu...
Habari wana JF,
Naomba msaada ili nipakue app kutoka playstore. Nimeshindwa kwa sababu nahitajika kuweka password ya email yangu na nimeisahau hiyo password.
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.
Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko...
Wakuu kwema
Laptop yangu old school HP G5000 imekufa rasmi baada ya kukaa nayo kwa miaka zaidi ya 10
Nina bajeti ya 300k natafuta laptop nzima isio na kipengele
Mimi very light user
Matumizi...
Hello Tech Members, Hope mpo Good Wazee!
Leo tutajifunza moja kati ya Language muhimu sana katika Web development, yaani CSS.
Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada,
REQUIREMENT...
Habari za saizi,
Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo?
Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile .
Msaada
Hapa nashauri developers kwenye program za ATM kwamba.
Mfano nikitaka kutoa 1m kwasasa (crdb) lazima nianze na 400k kadi inatoka then naichomeka tena ndio nitoe 400k baada ya hapo kadi inatoka...
simu ya OnePlus 10 Pro imeachiwa sokoni sasa inapatikana madukani kote, fahamu unachohitaji kujua kwenye iyo simu !!
Toka January 11 2022 ilianza kuuzwa nchini china ilipofikq tarehe 31 march...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.