Youtubers Karibuni Mje Mnipe Muongozo Na Majibu Ya Maswali Yangu Aya Machache

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,113
Salam
Ni Matumaini yangu Mko Salama Kabisa Na Mnaendelea na Majukumu ya kawaida kwa kila mmoja wetu, Niende kwenye Lengo

Nilifungua youtube channel kitambo lakini sikuifatilia sana mbaka ivi karibuni nilipoamua kuanza kuwa napost vitu tofauti tofauti ambavyo vimeongeza zaidi chachu na sasa natamani niifanye kwa usirious kabisa, Nimebakiza kigezo kimoja tu ya kutimiza masaa 4000 ili niweze kuruhusiwa kuweka google ads ambazo ndio zitakua zinaniletea kipato kwa muujibu wa google

Sasa najiulizi je hii kitu naweza kuifanya kua ni fulltime job yangu ususa kipindi iki ambacho kazi zimekua shughuri ?

Na je kwa kufuatiwa na izi content zetu za kiswahili na kuunga unga je inaweza kuletea return ya Tsh 800,000/= avarage kwa mwezi kwa izi content za kawaida ?

General nilitamani zaidi kujua faida na asala zake kwa wazoefu ususa kuwa naweza kuifanya kuwa ni fulltime na kufanya nitegemee malipo ya Adsense kutoka google ?

Kwa kuanzia nataka niwe naweka makala mbali mbali, Entertainment info, Sport na Wanyama kwa wing na sifa zake

Ufafanuzi zaidi wakubwa natamani kufahamu sana kabla sijaweka nguvu kubwa mnoView attachment 2204678
 
Back
Top Bottom