Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,303
- 105,100
Hola chicos
Siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto moja ambayo imenifanya nisifurahie kabisa PC yangu. Hii PC ni Lenovo Thinckthentre M93 All in One ila kioo chake ambacho kilikuja full kikiwa combined na CPU kilipasuka.
Baada ya kupasuka ikanibidi nitafute kioo kingine ambapo kwa bahati mbaya sikubahatika kupata kioo kama hicho cha mfumo wa All in One ili kusudi nirudishe mfumo ule ule ambao nilikuwa nautumia.
Ikanilazimu kununua Monitor nyingine ambayo nika connect na VGA cable na kuondoa mfumo wa All In One ikawa desktop ya kawaida.
Tatizo likaja kwenye Display, yaani nilivyo update tu ikawa shida japo mwanzoni haikuwa critical kwasababu niliweza ku access baadhi ya program zangu lakini kulikuwa na ugumu niliokuwa naupata nilipo run Adobe Ps 2022 kwani screen ilikuwa inaweka vichenga vichenga halafu ina stuck, lakini niki exit hiyo prog hali ya utulivu inarejea
Sasa nilichokuwa nakifanya niku bypass Display Adapter ili niweze ku run Program nzito kirahisi, kwenye display adapter kipindi ambacho natumia Intel nabadili naweka microsoft basic display adapter halafu naendelea kutumia resolution ile ile ya Intel ya 1920x1080
Lakini saizi imefika hatua mbaya kiasi kwamba nikitumia display adapter ya intel screen yote inakuwa black na hapo siwezi fanya chochote kui awake ni mpaka yenyewe iamue na ikiwaka haipiti dakika 2 inajizima tena na kurudi kwenye black screen