Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Wajuvi naomba kujuzwa kama upo uwezekano wa redio kubwa maarufu sub woofer isiyo na njia ya kutumia solar kuweza kufanyiwa utaratibu ikaweza kutumia solar.
Nauliza hivi kwa maana kuna baadhi ya vifaa unaambiwa nunua waya ama cable fulani labda valisha ama unga sehemu fulani kisha unaweza kuanza kutumia, je kwa mazingira ya hivi inaweza ikatumika hata kwa sub woofer isiyo na njia ya sola?