Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Wakuu nipo uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara tafadhali
Pole, Sikia,Wakuu nipo uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara tafadhali
asante sana so unasugua kwa nje ya gazet au unashika jivu pamoja na cheniPole, Sikia,
Chukua gazeti, sio karatasi....gazeti.
Kisha weka majivu yaliyopoa pamoja na cheni ndani ya gazeti hilo.
Yafunge vizuri kisha anza kama unasugua hivi....endelea kusugua mpaka utakapoona cheni au pete yako imeng'aa.
Ukimaliza ipanguse na kitambaa safi, usiioshe na maji.
Teknolojia hii waweza kusafishia hata dhahabu pia, ni njia nzuri sana .....na hata sonara wengine hutumia hii.
Nimefanya kazi maduka ya sonara, naelewa hii kitu kwa ufasaha.
asante mkuuPaka silver yako colgate ile ya blue katikati acha mda kidogo zen osha na maji ya kawaida
Hapana, majivu unayaweka pamoja na cheni kisha unayaweka katika gazeti na kuanza kusugua, yaani; majivu yakuwa yamechanganyika na cheniasante sana so unasugua kwa nje ya gazet au unashika jivu pamoja na cheni
sorry kwa usumbufu nilimaanisha huko kusugua unasugua juu ya gazet au unashika jivu na cheniHapana, majivu unayaweka pamoja na cheni kisha unayaweka katika gazeti na kuanza kusugua, yaani; majivu yakuwa yamechanganyika na cheni
Nop....yaani cheni unaikoroga pamoja na jivu kisha unaweka kwenye gazeti na kuanza kuisugua like kama vile una-roll pamojasorry kwa usumbufu nilimaanisha huko kusugua unasugua juu ya gazet au unashika jivu na cheni
ok sawa asante na ubarikiweNop....yaani cheni unaikoroga pamoja na jivu kisha unaweka kwenye gazeti na kuanza kuisugua like kama vile una-roll pamoja
Yap,hii inafanya kaz vzr sn na ndio njia natumiaga,kwa sonara sijawah kanyaga kabs.Pole, Sikia,
Chukua gazeti, sio karatasi....gazeti.
Kisha weka majivu yaliyopoa pamoja na cheni ndani ya gazeti hilo.
Yafunge vizuri kisha anza kama unasugua hivi....endelea kusugua mpaka utakapoona cheni au pete yako imeng'aa.
Ukimaliza ipanguse na kitambaa safi, usiioshe na maji.
Teknolojia hii waweza kusafishia hata dhahabu pia, ni njia nzuri sana .....na hata sonara wengine hutumia hii.
Nimefanya kazi maduka ya sonara, naelewa hii kitu kwa ufasaha.
Yeah...ni njia nzuri sana.Yap,hii inafanya kaz vzr sn na ndio njia natumiaga,kwa sonara sijawah kanyaga kabs.
Amina.ok sawa asante na ubarikiwe
sawa asante sanaAmina.
Ukiwa pia na tatizo lolote nitafute
nitajaribu maana muda wa kwenda kwa sonara kwa leo sina ... kesho asubuhi najaribu njia zoteok sawa asante na ubarikiwe
Hii ya jivu kama dhahabu yako au silver ni feki my dear usijaribu....inazipausha zote. Ila kama ni original zitapendeza sananitajaribu maana muda wa kwenda kwa sonara kwa leo sina ... kesho asubuhi najaribu njia zote
Mkuu cheni yangu ya gold inakatika katika sana miye mpenzi wa dhahabuAmina.
Ukiwa pia na tatizo lolote nitafute