U UniqueMan Member Joined Sep 7, 2016 Posts 69 Reaction score 28 Jun 20, 2020 #1 Habari Wakuu, Nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kununua Motherboard ya Dell Inspiron N5050 Tafadhali kwa mwenye nayo tusaidiane, Mimi napatikana Dar es salaam.
Habari Wakuu, Nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kununua Motherboard ya Dell Inspiron N5050 Tafadhali kwa mwenye nayo tusaidiane, Mimi napatikana Dar es salaam.
algorithim JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 878 Reaction score 910 Jun 20, 2020 #2 ninayo boss upo dar sehemu gani??? na hiyo uliyo nayo ina shida gani????
C Chriss Mwikuyu New Member Joined Jul 11, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Apr 22, 2022 #3 algorithim said: ninayo boss upo dar sehemu gani??? na hiyo uliyo nayo ina shida gani???? Click to expand... Mkuu habari... Samahani hauna motherboard ya Dell Inspiron 15 3000?
algorithim said: ninayo boss upo dar sehemu gani??? na hiyo uliyo nayo ina shida gani???? Click to expand... Mkuu habari... Samahani hauna motherboard ya Dell Inspiron 15 3000?
algorithim JF-Expert Member Joined Aug 29, 2016 Posts 878 Reaction score 910 Apr 28, 2022 #4 Chriss Mwikuyu said: Mkuu habari... Samahani hauna motherboard ya Dell Inspiron 15 3000? Click to expand... Mkuu ninayo hiyo motherboard
Chriss Mwikuyu said: Mkuu habari... Samahani hauna motherboard ya Dell Inspiron 15 3000? Click to expand... Mkuu ninayo hiyo motherboard