Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ RAM 8 GB. Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Man u poleni, Nina samsung a20 plane inasumbua sana mtandao internet speed yake iko chini sana anaefahamu tatizo naomba anifahamishe. Asante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu wataalamu. Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa...
0 Reactions
8 Replies
990 Views
Ebana habari zenu wakuu, mm natumia reviever ya Media Star 10000 ferrari, sasa naona kuna hili jambo la ku install free Iptv linanisumbua sana. So kama kuna maujuzi basi tusaidiane wakuu.
0 Reactions
136 Replies
25K Views
Nina azam tv imetumika kama miezi 7. Juzi imeanza no signal check if the wire has been connected. Nikamuita fundi ni me google mafundi azam mtandaoni akaja fundi kahangaika baadae akapata akili...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Kuna Pc ina zingua kioo naomba kujuzwa bei ya kioo ised ktk haya maduka ya kkoo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeinstall hii app kwenye simu yangu lakini nashangaa inagoma kutuma sms lakini ikitumwa kwangu inaingia vizuri kabisa Kwa anaetumia hii app anielekeze jinsi ya kutumia pls
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauliza kama kuna mtaalamu wa kutengeneza appk kwaajili ya kuweka education materials na kuiweka playstore. Ani pm Asanteni
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Wana JF naomba mwenye kujua. Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock? Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani naomba kuhuliza hivi Hawa ambao wanapata views nyingi youtube wanatumia jia gani kupata views ao kabisa Au ni njia gani ambayo ninaweza kutumia hili video yangu ipate views wengi nina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi tumezoea kuwachukulia hawa Jamaa wa Silcon valley kila wanachokisema ndio Uhalisia. Kumbe kuna mengi hatuyajui. Unakuta mtu anaimba tu "I wanna be the next Zuck" lakini je tunajua ya nyuma...
1 Reactions
14 Replies
824 Views
Habari za Jumatatu wakuu! Je kuna mtu yeyote humu ndani anayeweza kutengeneza hizo animations au hata mwenye uelewa wowote kuhusu hii kitu? Nahitaji ushauri au mawazo yenu katika hiki kitu, je...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Pata hosting kwa Tsh 110,000\= tu ,Hii ikiwa na mambo yafuatayo unayapata kama offer 1)1GB mysql space ,40GB bandwidth. 2) Free domain .tz 3) Free SSL Please tucheki WhatsApp 0687 535650
2 Reactions
2 Replies
710 Views
Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain. Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtu tajiri zaidi juu ya uso wa Dunia kwa paper assets mzaliwa wa Africa mwenye uraia wa Marekani ametangaza kuwa tayari kuinunua kampuni ya twitter kwa gharama ya $54 kwa kila hisa. Ikumbukwe...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimejiunga clubhouse ,Sasa kwenye group hili nataka kusoma vitabu lakini nikienda kwenye telegram kuna maneno haya Sasa nashindwa kuelewa tatizo liko kwenye simu au mtandao tafadhali wakuu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua. Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi. Kila nikiweka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom