Salam!
Ni chimbo gani naweza fundi simu? Smart phone yangu SM Note four imekufa power IC chip yake. So nilihitaji fundi anayeeleweka wa kui replace. Hela ipo sio tatizo.
Ninachotaka simu yangu...
Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa...
Habari
Naomba kujua sehemu wanakofundisha masomo ya computer kwa upande wa programming na coding kwa hapa mwanza.
Ada ni sh ngapi?? na ni wapi?
Binafsi sina msingi wa masomo ya computer...kwa...
Habari zenu waheshimiwa,
Nimesikia kuna namna mtu unaweza kum block mtu/watu flan kwenye mitandao ya simu....wasiweze kukupata hewani kama vile ilivyo kwa mtandao wa kijamii wa facebook.
Naomba...
Habari wadau,
Mm Nina simu kubwa mbili ambazo natumia laini tatu za mitandao tafauti Zazntel,Vodacom na halotel.
Laini hizo zote nazitumia kwa matuizi ya internet ambapo Mara nyingi huaga naweka...
Wakuu msaada,
Kwa siku ya tatu sasa kila nikipiga simu mtu akipokea tu huwa inaniletea hayo maneno hapo juu nimejaribu kuangalia kama kuna mtu anafuatilia simu yangu lakini imenionyesha kwamba...
Karibu deepseatechnologies,
Tunapenda kuwajuulisha watumiaji wa computer manyumbani, mashuleni, maofisini na maeneo yote kuwa tunatoq huduma ya maintainance ya computers(installation, updating...
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?
Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda...
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk
Kisha zikatoka upgrade yake...
Msaada kwa mwenye uelewa hizi printer hivi ndo hizi ambazo hazitumii cartridge?? Na vipi kuhusu bei maana kuna mdau kanambia alichukua dar kwa 1.5 million ni kweli bei yake ndo hiyo au uongo...
Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack...
Kama kuna kitu kinakera ni matangazo ya kila mara YouTube wakati nitazamapo video. Na pia kinachokera ni hizi clips kama nilivyo screenshot .nawezaje kuondokana na hizi adha za matangazo ya kila...
Habari
Kama sio settings za simu yangu basi ndio hivyo tena jamaa warudi tu shule.
Ninapofungua app ya WhatsApp kisha naenda chini pale nabofya nipate majina mbalimbali ya wapendwa zangu majina...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Tafadhalini sana mwenye link ya whatsapp plus new version naomba anisaidie maana whatsapp yangu imekwisha expire
Natanguliza shukrani zangu
Hellow jf,nadhan mpo poa..Ninataka nitengeneze project ikifika mwez wa 12,mara ya kwanza niliunda android school app ambayo ilikuwa inasaidia wanachuo wa chuoni kwetu wakitafuta...
Wakuu habari,
Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell.
Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla.
Kimsingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.