Network zote 2G 3G na 4G zinashika hata nikiichagulia isome 2G only bado shida iko palepaleIna maana haikubali ussd, mpesa na Tigopesa hazikubali pia?
Short term solution hapo ni kudownload app ya Mpesa ama Tigopesa uwe unajiunga vifurushi na hizo apps.
Pia angalia network inashika 3G na 2G? Maana kwetu 4G ni intermet tu.