Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,787
Instagram wazindua mfumo wa kutoa taarifa kuhusu watoto waliopotea kwenye eneo lako !!!
Moja kati ya mtandao unaotumiwa na wengi ni Instagram huna jumla ya watumiaji zaidi ya bilioni moja ulimwenguni kote.
Siku ya jumatano Instagram waliweza kusambaza kipengele kipya Cha ππ¦πππ« ππ₯ππ«π π€π°ππ§π²π π©π₯ππππ¨π«π¦π¬ π²π ππ§π¬πππ π«ππ¦ ili kuwafahamisha watumiaji wa kuhusu kupotea kwa watoto.
Ujumbe huo utaanza kupatikana marekani na nchi nyingine 25, zitatoa maelezo kuhusu mtoto aliyepotea, zitachapisha Picha, maelezo , eneo mara ya mwisho kuonekana nk. Mfumo huu umeundwa ili kuwasaidia watu kuweza kusambaza taarifa kwa ndugu ,jamaa na marafiki.
Tunajua nafasi ya kumpata mtoto aliyepotea hamasa huongezeka zaidi ikiwa watu wengi wataweza kuona hizo picha pamoja na kusambaza kwa watu wao wa Karibu.
Alisema @mosseri mkurugenzi wa uaminifu na usalama katika kampuni mama ya Instagram ya Meta(FB) alisema kwenye chapisho lao kwenye blogi " ikiwa amber alert itaaanza kutumika itaweza kusaidia jamii kupatikana kwa watoto waliopotea sehemu ya eneo lako unaloishi kwa haraka zaidi.
Ebu tuambie hunaionaje hii feature ni kweli itasaidia kupatikana watoto waliopotea kwenye mazingira ya Utatanishi eneo lako?
Teknolojia ni yetu sote [emoji110]