Jinsi ya ku-unfollow watu wengi kwa pamoja Instagram

EmmanuelSangeJR

New Member
Jan 13, 2018
4
2
Habari wana jukwaa, samahani naomba kufaham jinsi ya ku-unfollow kwa pàmoja watu niliowafollow instagram maana niwengi nataka nibakishe wachache tu kama sio kuondoa wote kabisa. Binafs nimejarbu kuinstall apps playstore znazosolve ilo swala lakn imeshindkana nahitaj msaada wenu. Asanten

Screenshot_20220602-145832.jpg
 
si ubonyeze hapo following kisha unaunfollow mmoja mmoja kila siku unatenga idadi utawamaliza tu
 
Yaani wewe umewafollow mmoja mmoja lakini unataka kuwaunfollow Kwa pamoja?
 
si ubonyeze hapo following kisha unaunfollow mmoja mmoja kila siku unatenga idadi utawamaliza tu
Hii kitu ni stressfull sana...nilitaka kumkopi kiba kwahyo ilibidi niunfollow watu 3000 mmojammoja
 
Uki unfollow kwa mkupuo unaweza kupigwa burn followers wako watakua hawaongezeki au wanapungua Mara kwa mara...
 
Nakumbuka nilikuwa natumiaga app moja hv inaitwa unfollow

ila kwasasa hv sikushauri maana Instagram wameweka sheria ngumu mno ambayo ukitumia hyo APP uka unfollow wote kwa pamoja account yako inakuwa block.


Labda ufanye tu Manually na hapo kwenye syo unfollow watu wote kwa mda mmoja NO.

just una unfollow kadhaa kisha una pose baada ya muda una unfollow tena mpka wanaisha muhimu kuwa maakini mno.

Achana na APP hzo hawahtaji cku hzi hao mia 7 wadogo sana kwenye hilo zoezi la ku unfollow.
 
Back
Top Bottom