GTA 5 mission yake ya mwisho ni ipi?

GTA 5 mission yake ya mwisho ni ipi?

Jayfee

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
329
Reaction score
1,079
Wakuu habari!
Naomba kuuliza hivi Gta 5 mission yake ya mwisho ni ipi kwa wale waliocheza maana nimechaza hapa so sioni mission nyingine

IMG_20220530_184120.jpg
 
Subiri waje kukujibu mimi napenda action game sana sana kama call of dut, assassin creed, God of war na soccer, hizo za mission subiri waje kukujibu.
 
Wakuu habari!
Naomba kuuliza ivi Gta 5 mission yake ya mwisho ni ipi kwa wale walio cheza maana nimechaza apa so sioni mission nyingine

View attachment 2244654
GTA 5 last mission wanakupa machaguo matatu kumuua Trevor kuumua Michael au death wish Ivyo chochote unachochagua jua ndo mwisho wa ilo game [emoji452] so kama unahitaji utamu zaidi we endelea kucheza
 
Ooh boss sawa nimekupata nilimuua Trevor so kumbe ndo last mission
 
Dah I wish one day I could play GTA 4 and 5 nimecheza GTA 3 na Vice city and I finished all missions including those side missions.
 
Dah I wish one day I could play GTA 4 and 5 nimecheza GTA 3 na Vice city and I finished all missions including those side missions.
Sijacheza GTA za PS2 sikupenda graphic.

Nimecheza 5 nimefika mpaka mwisho lakini huwezi kusema umeimaliza kwakua ukianza kutafuta side missions zipo nyingi mno.

Hivyo naamini hata GTA ulizocheza zina side missions nyingi huwezi hesabu umeimaliza game
 
Back
Top Bottom