Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi! Mfano, nina dakika 100, nataka kumpunguzia John dakika 50
2 Reactions
27 Replies
37K Views
Wale wrote mliopata domain name kwa TSH.3000 naomba maelekezo, Balenciaga Jr ulipataje hiyo domain kwa afutatu/NNE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana JF, wakubwa zangu shikamoni, Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja iliyonileta hapa, wiki moja imeisha nmenunua hii simu SAMSUNG GALAX NOTE 10+ lakini imekuwa na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wasaalam, Naomba kupewa ufafanuzi (wakitaalamu) kidogo. Nimepatwa na Changamoto kwenye matumizi yangu ya Simu hasa upande wa internet. Siku zote huwa nikitumia internet, huwa napata kwa 4G...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi wamekua wakiuliza swali hili, hasa wale wanaofanya kazi kama waalimu, ambao wanatakiwa kuwa-grade wanafunzi kulingana na matokeo ya mitihani kwa kutumia Microsoft excel. Nimeona watu...
22 Reactions
95 Replies
60K Views
Habari wakuu, Natafuta kifaa tajwa hapo juu, nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka wanyouza vifaa vya kielektroniki hapa posta sijafanikiwa. je kuna mtu anaweza nielekeza mahali ninapoweza kupata?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note...
5 Reactions
75 Replies
11K Views
Naona Voda wamezindua 5g na hologram, hiki ni kitu gani? Au ni kama WhatsApp ya Voda?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ,nimeshawishika kutaka kununua simu used from abroad ambazo zinauzwa na kunadiwa mitandaoni, hii ni kutokana na kigezo kimoja tu cha bei, kwani nyingi ni za viwango na ni za matoleo ya hivi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, msaada kwenye tuta. Hapo mwanzo hii game Euro truck simulator 2 nilikuwa naicheza vizuri kabisa kwenye hii laptop yangu ya Lenovo T420 Core i5. Nimeicheza kwa miezi kadhaa hadi now. Sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wandugu naomba kujuzwa namna ya kutambua iphone fake... Clone au za akichina. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Habarini. Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia. Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Natumai mko poa nyote. Poleni sana na majukumu ya kila siku. Simu yangu Samsung S8 Plus. Iko locked na Au ya Japanese. Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked...
0 Reactions
4 Replies
781 Views
Sometimes Bhana naona watu wengi aki code style website yake kidogo tu anaanza ku inspect elements aangalie jinsi gani iyo style inaonekana kwenye mobile. Hii trick pia inakupa access ya kutumia...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Asalaam wakuu. Ningeomba mwenye ufahamu mzuri kuhusu concept ya default gateway aeleze kwa kina ni kitu gani na kinafanyaje kazi. Nawasilishisha.
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Habari wana jamvi la JF Tech, kama title inavoeleza. Simu angu kuna baadhi ya Apps hazifunguki inanipa maelezo kama yalivyo kwa TITTLE hapo juu. Naombeni msaada shida ni nini hapa!
1 Reactions
5 Replies
988 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…