Jinsi ya ku-run localhost website kwenye simu kwa kutumia hotspot

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
673
1,391
Sometimes Bhana naona watu wengi aki code style website yake kidogo tu anaanza ku inspect elements aangalie jinsi gani iyo style inaonekana kwenye mobile.

Hii trick pia inakupa access ya kutumia website yako wakati bado ipo kwenye development jinsi gani muonekano wake utakuwa kwenye simu

Kwanza run website yako

Screenshot from 2022-11-13 13-24-37.png


Ukimaliza open iyo website kweenye browse uone kama inafanya kazi


Screenshot from 2022-11-13 13-25-29.png

Ikisha open. Washa Hotpots kwenye sim ukiwa umezima data, ikisha connect
Kama unatumua windows run ipconfig
na kama unatumia debian run ifconfig. run hizo command ukiwa tayari umesha connect hotsport.

Screenshot from 2022-11-13 13-24-11.png


Ñjia nyingine.
Nenda kwenye hotpots kwenye simu
Screenshot_20221113-132607_Settings.jpg


Open connect device (jina la compuer ulio connect na wifi)

screenshot_20221113-132622_settings-jpg.2415458


Baada ya hapo copy hiyo IPaddress.
Kisha.

Kumbuka website ina run kwenye port numba gapi (kwenye huu mfano mm natumia port :8080)

Sasa baada ya hizo process zote combine IPaddress na hizo port

Mfano: - 192.168.213.198:8080

Baada hapo run hipo IPaddress pamoja na port number kwenye web browse ya kwenye simu
Screenshot_20221113-132757_Chrome.jpg



Trick nzuri sana hii lakini watu wengi hawaifahamu
Screenshot_20221113-132757_Chrome.jpg
Screenshot_20221113-132622_Settings.jpg
Screenshot_20221113-132607_Settings.jpg
Screenshot from 2022-11-13 13-25-29.png
 
Kuna ulazima gani wa kuzunguka kote huko, wakati unaweza resize browser yako, kwa resolution tofauti tofauti.


12.PNG
 
Back
Top Bottom