Namna ya kutambua fake iphone

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
26,982
38,735
Wandugu naomba kujuzwa namna ya kutambua iphone fake... Clone au za akichina.

Natanguliza shukrani.
 
Ingiza imei kwenye imei.info itakupa taarifa zote za simu yako. Kama haziendani na simu yako basi jua tayari una clone.

Pia angalia kama inakubali icloud. Kama ni feki haitakubali.
Okay ngoja nicheki kuna mtu ananiuzia ya mkononi na sijawahi nunua iphone nje ya maduka yao that's why naogopa
 
Simu feki za Iphone ni zile zenye umbo la iPhone na os ya android, kama umewai kutumia Iphone bila shaka utaweza kuitofautisha kwa kuangalia features zake kama Apple id, iCloud id kama zinafanya kazi, nenda setting > general > software update cheki hapo utaona kama inatumia os ya apple.
 
Msaada wadau na iPad pamoja na iphone zote azitumii lain Je?naweza zitumiaje Kwenye mawasiliano kupiga,kupokea cm na kutuma txt
 
Wandugu naomba kujuzwa namna ya kutambua iphone fake... Clone au za akichina.

Natanguliza shukrani.
fake iphone haina icloud ukifungua icloud ikanupeleka kwingine, halafu hazina apple store, ukiingia apple store inakupeleka playstore, halafu hazina find my iphone ukifungua find my iphone inakuletea kitu kama find my iphone ila ukiweka details haikubari halafu ina apple maps badala ya google maps....
 
Msaada wadau na iPad pamoja na iphone zote azitumii lain Je?naweza zitumiaje Kwenye mawasiliano kupiga,kupokea cm na kutuma txt
Hiyo iphone itakuwa CDMA, there is no way out zaidi ya kuwa waiconnect na wifi uka install whatsapp ukawa watumia whatsapp na viber.
Ipad pia kama haitumii line haina jinsi na ipad haisupport whatsapp ila unaweza install with some tweaks ndo inakubari
 
Chukua IMEI
Nenda Sehemu Ya KUandika Ujumbe
Tuma Number Kwenda 15090
Utapata Majibu Kwa Simu Yoyote
 
Ingiza imei kwenye imei.info itakupa taarifa zote za simu yako. Kama haziendani na simu yako basi jua tayari una clone.

Pia angalia kama inakubali icloud. Kama ni feki haitakubali.

Nakubaliana na wewe kuhusu IMEI Checker, kuhusu ICloud sio lazima ikubali ,kama aliekuwa nayo mwanzoni alishajisajili zaidi ya mara tatu kwenye icloud mara ya nne itagoma japokuwa ni genuine iPhone.

Kutokana na maelezo ya jamaa ni wazi ananunua simu iliyotumika ndio maana anataka jinsi ya kutambua simu fake kama ingekuwa mpya angeenda maduka ya iPhone.

Kwa hiyo IMEI checker ndio njia sahihi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom