Mitandao ya simu: Tunaomba option ya kuhamisha muda wa maongezi kwa mwenzako

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi! Mfano, nina dakika 100, nataka kumpunguzia John dakika 50
 
Mimi naomba option ya kumuhamishia mtu CHARGE hata bar 2! Pia watuwezeshe kumtumia mtu NETWORK SIGNAL incase mtu yupo eneo halina network na ni hatarishi kama Mbugani n.k!
Hata mm huwa nalifikiria sana hilo mkuu sijui hawawezi
 
Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi!
Hiyo option mbona ipo muda tu ("buddy recharge"). Labda kama wameibadilisha sasa .

Nakumbuka kwa Voda ilikuwa *141*namba ya unayemtumia*kiasi# na kisha unaconfirm kwa kupiga *141*02#

Sijatumia huduma hiyo kwa miaka kadhaa sasa maana unaweza kumnunulia mtu bundle moja kwa moja au hata airtime kupitia tigopesa/mpesa etc.

Unless kama unakusudia kuhamisha dakika kwa maana ya muda na sio thamani ya muda huo
 
Kuhamisha dakika, say nina daki 100 nataka kumpunguzia SMU dakika 50, does this option exist?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kuhamisha dakika, say nina daki 100 nataka kumpunguzia SMU dakika 50, does this option exist?
Hiyo sijaisikia. Lakini naona ni doable only kama umeshanunua bundle. Otherwise, airtime inakuwa stored kama monetary value na sio dakika.
 
Haya kazi wizi tuu haswa airtel sasa hvi ukijichanganya ununue bundle zao duh,utafikiri bundle ni la barafu linayeyuka chaaap
 
Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi! Mfano, nina dakika 100, nataka kumpunguzia John dakika 50
Wangeanzisha icho kitu.. Ingekuwa poa sana. Maana unakuta wakati mwingine uko busy dakika zinachukuliwa na wakati ungemwamishia mwingine atumie
 
Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi! Mfano, nina dakika 100, nataka kumpunguzia John dakika 50
Tena iwe hata OFF net... Maana nikishanunua SAY airtime ya airtel, halafu nikaamua kumpa wa VODA au TiGo, AND VICE VERSA iwe inawezekana
 
Hiyo option mbona ipo muda tu ("buddy recharge"). Labda kama wameibadilisha sasa .

Nakumbuka kwa Voda ilikuwa *141*namba ya unayemtumia*kiasi# na kisha unaconfirm kwa kupiga *141*02#

Sijatumia huduma hiyo kwa miaka kadhaa sasa maana unaweza kumnunulia mtu bundle moja kwa moja au hata airtime kupitia tigopesa/mpesa etc.

Unless kama unakusudia kuhamisha dakika kwa maana ya muda na sio thamani ya muda huo
Kuhamisha dakika za maongezi nilizonazo, say I have 40 minutes to all nets and I want o give some say 10 minutes to my colleague!
 
Back
Top Bottom