Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu Ebu nipeni ushauri nasaha hapa mdogo wenu, nimekwama kati ya vyuma tajwa hapo juu, nipite na ipi kati ya hizo mbili. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki maana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi nashangaa developers kudharauliana, sasa hivi kule Twitter wanasemwa sana WordPress developers, hamjui future trend ya programming ni kuwa few years to come (Mungu akituweka hai) basi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Browser ya kuperuzi ya Google chrome inatumika na zaidi ya watumiaji Bilioni 2 ambao wanaitumia sana. Hivi karibuni kuna kesi inaendelea baada ya tetesi kuonyesha zaidi ya Watumiaji Bilioni 2 wa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Kampuni ya spaceX inayo milikiwa na mtu namba moja tajiri duniani "Elon musk" kwa kushirikiana na NASA wamefanikiwa kurusha rocket yao ya falcon 9 kwenye mission ya CRS-26 Cargo ambayo rocket hiyo...
1 Reactions
6 Replies
803 Views
Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako Ili kuwa na profile...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mko poa. Natumia Samsung S8 plus. Nafanya mabadirishano sitaki pesa ni mabadirishano tu. Ina ukubwa wa 64 GB RAM: 4 Singe line. Battery : 3500AM Android : 9 Inatumia UI Home ya 1.0...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Wakuu poleni na majukumu naomba kujuzwa ni music system ipi nzuri kati izo nilizozitaja hapo juu. Naomba kuwasilisha wakuu
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasilisha Ndugu kutoka Katika Majukwaa Flani Flani Ya Kwamba Mwezi huu Adsense Hawalipi Mtonyo Mpaka Mwezi Ujao. Kuna Ukweli Wowote wa Hii Taarifa Wanajamvi?
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu...
1 Reactions
7 Replies
934 Views
Habari zenu wana tech, nipo hapa nimepata wazo nataka nifungue forum iwe kama JamiiForums ila tu utakuwa mahususi kwajili ya watu wanaotokea sehemu moja, kufanana interests, kufanya kazi /...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana IT Naomba msaada kujua ni plaform ipi naweza kurent phone numbers ya USA ambayo ntakuwa naitumia kufanya verification mbalimbali online.
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani nina nahitaji msaada wa mtu anayejua kutengeneza Android App
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimetumiwa document ya muhimu sana toka benki fulani. Ajabu document ile kwa chini ina watermark ya CamScanner. Nikashangaa sana mtu hata document za muhimu bado anatumia CamScanner tena...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰 Pichani hapo ni muonekano wa dunia...
2 Reactions
1 Replies
843 Views
Wadau naomba kujua ikiwa nataka kuziona post zangu zote nilizopost hapa Jf nifanyeje? Na Fb napo nifanyeje? Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda. Kama hauwezi kumudu internet...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Unaweza kuhamisha fedha kutoka mtu hadi mtu. Tunaomba option ya kumhamishia mtu dakika za maongezi! Mfano, nina dakika 100, nataka kumpunguzia John dakika 50
2 Reactions
27 Replies
37K Views
Wale wrote mliopata domain name kwa TSH.3000 naomba maelekezo, Balenciaga Jr ulipataje hiyo domain kwa afutatu/NNE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana JF, wakubwa zangu shikamoni, Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja iliyonileta hapa, wiki moja imeisha nmenunua hii simu SAMSUNG GALAX NOTE 10+ lakini imekuwa na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom